Lady Jaydee new song 'Sawa na wao' ni shidaaa!!!

Lady Jaydee new song 'Sawa na wao' ni shidaaa!!!

me sio mshsbiki wa nyimbo za kidunia lakini huu wimbo mzuri sana.

Good Jay Dee [emoji173] [emoji180] [emoji182]
 
Au masikio yangu leo?maake nimesikiliza nyimbo ya kijana wa wcb,nikaona mbovu..hii nayo mbovu..yaan hizi touch ndio sielewi kama wabongo watazielewe..ngoja tuone kazi ya promotor,kupromoto...maake kazi ipo
Harmoniz kaniboa kumuiga diamond yaan ile verse ya pili niljua kamshirikisha diamond
 
Namkubali sana Jide ila huu wimbo katuangusha.
 
Mi amenikuna aliposema nakolela te,nakosema na bango dah yaani ameua kinoma
 
Back
Top Bottom