Lady jaydee ni mjamzito

Lady jaydee ni mjamzito

acheni choko choko kila kona ya maisha yake mnataka muichokonoe mind your own bussiness guys khaa!
 
Mda wake ukifika atapata mtoto hakuna mtu anaejua siri ya mwenyezi mungu Inshallah Mungu atamjalia na yeye awe na furaha kama Mama wengine.
 
hawezi kupata mimba kwa njia za kawaida.. Na hili halipingiki hata kidogo.labda jiwe kama mwenzangu alivosema.
 
Nasikia kwanza kwa sasa hayupo bongo, au ndio ameenda kupandikizwa huo ujawepesi?

Nasikia ngoma zilichukuliwa hapa hapa bongo akaenda kupandikiziwa Uingereza. Bendi yake kwa muda tu imekuwa ikipiga bila Jaydee. Mume wake aliwahi kuulizwa na Clouds radio akasema ameenda kusoma english course!. Source:elimu kitaa.
 
Duuu watu wambea sanaa inawahusu jamani??muacheni dada wa awatu na maisha yake!!kwani alishawahi kuomba msaada wenu kupata huyo mtoto?mtoto ni zawadi kutoka kwa mwenyezi Mungu!muda wake ukifika atapata tu!!!
 
hongera sana maana kuzaa ni majariwa si razima
 
mshukuru Mungu kwa kila jambo kama kweli ametenda hivyo
 
Hivi ni kweli kwamba huyu binti huwa ni mtoto wa Tyson (Sokwe) yule wa chama cha magamba?? Nilishawahi kusikia hili ila sijapata mtu akanithibitishia
we huoni midomo wamefanana!
 
Mmmh kwani alisema hazai au ni mipango yake

Sio mipango, rumours that goes around ni kwamba hawezi shika mimba ana matatizo, na hiilo ndo linamnyima raha sana katika maisha yake but thats it Mungu hakupi kila kitu!
 
hizi habari zimezagaa if it is true CONGRATULATION MUMY umewakata ulimi wenye kiherehere; i am so proud of you; utakuwa role model kwa wanawake wengi wa kitanzania wanaonyanyasika kwenye ndoa na jamii kwa kuitwa wagumba na majina yasiyofaa. gooooooo komando GOD BLESS YOU ALWAYS! MWACHENI MUNGU AITWE MUNGU

Usimshirikishe Mungu kwenye mauchafu yenu...unaonekana ulikuwa unaumia JD kutokuwa na mtoto,si ungeenda kumsaidia?
 
Mkuu ni bora ungeandika hata thread ya kuisifia familia yako,sasa wewe kwa akili yako unashangaa JD kuwa na mimba?si anakojoa huku amechuchumaa sasa sa cha ajabu kipi hapo?

U can say that again!
 
namshukuru mungu kwa hili jd mungu akujalie ujifungue salama mama
 
BAba wa j d alishafariki huyo wa chama cha magamba ni baba mdogo aliye mlea kuanzia akiwa mdogo..lol watu wambea hay nishakujuza uliyetakakujua lol
 
Back
Top Bottom