Van Walter
Senior Member
- Jun 16, 2009
- 171
- 12
Nakubali Lady Jaydee ni zaidi ya Whitney kama tunaongelea local scene, kwa yeyote ambaye mipaka yake ya ufahamu wa muziki inaishia bongo atakuwa na mtazamo huo. Hata kama kura zimepigwa inawezekana wapigaji wakawa ni watoto wa late 90's ambao wameujua mziki wakati nyota ya Whitney imeshafifia na hawajui lolote kuhusu mwanadada huyo. Lets say Whitney anafanya show hapo Dar sehemu fulani na JD akawa naye anapiga sehemu nyingine usiku huohuo, sitashangaa sana kuona show ya Jide ikijaza kuliko ya Whitney.
Duh.Katika pitapita zangu nimejikuta nikiingia sehemu na kupigwa na mshangao....nimeingia kwenye blog ya lady jaydee na nimekuta ameweka nani zaidi kati yake na Whitney Houston, watoa comment wengi wamesema JayDee ni zaidi!
Yaliyo yangu;
Dada JayDee bado saaana kujiweka ktk kundi moja na whitney,ni sawa na mjusi kujilinganisha na mamba
BaahahaaJamani tusimhukumu Jaydee bila kujua anajilinganisha kwa kitu gani
- Kama ni muziki - hapana
- Kama ni kuwa sura nzuri - Hapana
- Kama ni Pesa - Hapana
- Kama ni kufanana na mwanaume - HAPO SAWA!!!
Wazo: JayDee ni zaidi ya Whitney kwa kuwa na sura ya kiume na mkomao!!
Nchi yetu ina maajabu sana, hata vichwa vya train huokotwa bandarini.Ha ha ha ha ha Mwamba ngoma....., watu wengine wanakufuru kweli!!!! Hivi huyu anaweza kujifananisha na Whitney kweli? Hata Whitney katika miaka ya hivi karibuni pamoja na kutumia unga bado ni mkali mara 100 kuliko huyo Jaydee.
Nchi yetu ina maajabu sana, hata vichwa vya train huokotwa bandarini.