Lady Jaydee nimerap kwenye ngoma yangu niliyo andikiwa na ngosha fidq

Asante kwa taarifa tunasubiria hiyo ngoma ya Lady Jay D kwa hamu
 
Walishaga imba pamoja nyimbo inaitwa "ua kadi na rose"
 
Huo wimbo mi nshausikia wala sio mzuri. Infact nilishamshauri huyo mama aachane na mambo ya kuimba astaafu kwa heshima hanisikii, ngoja aanze kuvunjiwa heshima na watoto.
 
Lady JayDee kipaji cha kuungaunga, kabebwa na promo in her entire carrier sasa hivi wakati unaongea.
 
Nilimsikia akisema Sehemu aliyorap kaandikiwa na one the incredible.. Sio Ngosha
 
Nilimsikia akisema Sehemu aliyorap kaandikiwa na one the incredible.. Sio Ngosha
Absolutely, verse ya kwanza kaandika incredible na sio ngosha kama mleta uzi anavyodai.

Inaelekea mleta uzi kasikia juu juu kuhusu hii ngoma akakimbia kuandika uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…