Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maada ni kitu chochote chenye uzito na kinachochukua nafasiMaada ni nini? Unanikumbusha somo la Sayansi shule ya msingi.
Maada ni kitu chochote kinachoweza kuchukua nafasi.Maada ni nini? Unanikumbusha somo la Sayansi shule ya msingi.
Kwani ni collabo? Mi nimeelewa kaandikiwa tu ila kaimba pekeyake, au ukiabdikiwa ukaimba nayo ni collaboration?
kadi na ua rozi babu...'penzi lako tamu zaidi ya bao la usingizini,jinsi ulivonona itakua noma sheikh asipochoma ubani'Walishaga imba pamoja nyimbo inaitwa "ua kadi na rose"
Absolutely, verse ya kwanza kaandika incredible na sio ngosha kama mleta uzi anavyodai.Nilimsikia akisema Sehemu aliyorap kaandikiwa na one the incredible.. Sio Ngosha
Ni jambazi kwenye muvi za kihindi.Mkuu
Rad jay d ndiyo nani???
OkNi jambazi kwenye muvi za kihindi.