Lady jaydee-siku hazigandi

Lady jaydee-siku hazigandi

wajojo

Senior Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
155
Reaction score
83
Mnadhani hamyajali maumivu yangu moyoni,na wala hampendi kwangu kwangu yatokee mazuri,hata niliowaheshimu leo hii mmenigeuka.duh kumbe hii vita ya kitambo now ndo natoa matongo tongo duh kweli jide kachokaaaaa...
 
Clouds ni vibaka wanaowanyonya sana hawa wasanii wasio na elimu dunia, wakipewa shoo moja wasanii wapo tiyar kuwatukana hata wazazi wao
 
Back
Top Bottom