Lady JayDee: Utakubalije uwe historia kabla siku yako

Lady JayDee: Utakubalije uwe historia kabla siku yako

Ukute kamuimba Gadner manake dakika mbili mbele yule jide hata akisonywa tu huyo mbio studio. Anakuja kushtuka nyimbo tayari inachezwa redioni.

Huo wimbo jide hakuuandika yeye..kutokana na maelezo yake ktk diary ya jide alisema mashahiri ya wimbo huu alinunua kutoka kwa vijana wa sharobaro..so hajamuimbia mume wake ni ujumbe kwa watu wote
 
Back
Top Bottom