Bonge moja la colabo. Kwa wanaojua muziki mzuri hii hawatakosa labda tu mifuko iwe imetobokaIla hii combination matata sana , hawa ndio wanamuziki bhana sio wauza sura , naona kesho patakua hapatoshi mlimani, natamanije ningekua bongo na Mimi .
Ila shoga zangu na wenyewe uso umewakomaa khaa , Mara kumi Juliana kidogo baby face , shoga angu Jide ye yupo kikazi tu, mambo ya kujipodoa hanaga , ndio maana wakamwita komandoš¤£š¤£
Haya na nyie wambe ndio muende kesho mlimani city kumsapoti Jide uko mxiew kaz umbea tu masaa 24
I really like her
NdizaNamkumbuka sana zahara na nyimbo yake ya Loliwe" tamu sana
Sh ngapi kiingilio, nikatie maguuBonge moja la colabo. Kwa wanaojua muziki mzuri hii hawatakosa labda tu mifuko iwe imetoboka