Lady Jaydee, Zahara na Juliana kuwasha moto mlimani kesho .

Lady Jaydee, Zahara na Juliana kuwasha moto mlimani kesho .

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Ila hii combination matata sana , hawa ndio wanamuziki bhana sio wauza sura , naona kesho patakua hapatoshi mlimani, natamanije ningekua bongo na Mimi .

Ila shoga zangu na wenyewe uso umewakomaa khaa , Mara kumi Juliana kidogo baby face , shoga angu Jide ye yupo kikazi tu, mambo ya kujipodoa hanaga , ndio maana wakamwita komando🤣🤣

Haya na nyie wambe ndio muende kesho mlimani city kumsapoti Jide uko mxiew kaz umbea tu masaa 24
 
sasa huyo asiyejipodoa ndio mtamu sana, hawa wa sura bandia hata hawanogi
 
Namkumbuka sana zahara na nyimbo yake ya Loliwe" tamu sana
 
Jide unamuongelea wa 90’s sio wa sasa anapiga make up anadamshi utadhani yuko kwenye 20’s
Nampenda Zahara na Jide sana
 
IMG_5016.JPG

IMG_5017.JPG
 
Ila hii combination matata sana , hawa ndio wanamuziki bhana sio wauza sura , naona kesho patakua hapatoshi mlimani, natamanije ningekua bongo na Mimi .

Ila shoga zangu na wenyewe uso umewakomaa khaa , Mara kumi Juliana kidogo baby face , shoga angu Jide ye yupo kikazi tu, mambo ya kujipodoa hanaga , ndio maana wakamwita komando🤣🤣

Haya na nyie wambe ndio muende kesho mlimani city kumsapoti Jide uko mxiew kaz umbea tu masaa 24
Bonge moja la colabo. Kwa wanaojua muziki mzuri hii hawatakosa labda tu mifuko iwe imetoboka
 
Write your reply...
hamnitendei haki kabisa wajameni wekeni na picha za Juliana.. dah umasikini huu ningekuwa na hela ningeenda kumuona Juliana, kale kadada kazuri sana!
 
show la ki gentlemen ngekua dar nisingekosa

ivi mxiew sjui ndo ivoo? inatamkwaje hio? linamaana gani?
msaada tafadhali?
 
Wakati mwingine unapost vitu vya maana sana
 
Back
Top Bottom