Komandoo jide jana alifanya show na kiba
Katupia maneno insta kumshukuru kiba Kwa kumpa support despite uoga wa wasanii wengine kutompa support Kwa kuogopa watu flani flani nadhani mnawajua. .Aliyeenda jana tupe update ilikwendaje. .naona video kama palifana sana..