Lady JD chali, Watu Wanacheza bila Kukunja Goti...

Na wasiwasi na.jinsia yako.mkuu mleta mada ,how come unamponda msichana mtafutaji na wanaume hao,mhhh ila sijui lakini
 

Sio bure wewe...
 

Kila anayesikiliza hiyo ngoma ana mtu wake ampendaye humo kwa mfano mm nampenda AY. Lakini jide ni jeshi la mtu mmoko kitu Yahaya.
 

Nisaidie, wewe jamaa unawaza kwa kutumia nini? Kwa pumba ulizoandika hapa haziwezi andikwa na mtu anayewaza kwa kutumia kichwa.
Wapo wengine huwaza kwa kutumia njia za haja.
 
Gay chomba atakuwa kachukuliwa bwana na lady jaydee...mwanaume rijali huwezi kutumia muda kushindana na binti
 
Hahaahah maalim chomba bana unakuwaga mkweli na hapo ndio unakorofishana na wabongo wakurupukaji...kumbe Yahaya bana kudaii chake kaimbwa taaaaabu kweli...
 
Gay chomba atakuwa kachukuliwa bwana na lady jaydee...mwanaume rijali huwezi kutumia muda kushindana na binti
Hahaha! huyu jamaa anaweza kukuharibia siku kwa comment zake.
Pengine kapewa bia mbili aje amfungulie thread JIDE!
 
Watu wa bibi povu linawatoka...au bwana chomba ni zile show zake za nyumban lounge anazowapigiwa wa huduma wake ndio zimekushtua mana kuna mswaki wa ukweeli sn....eti wanadai kachuja km mrema kisiasa sema yy anatafuta mchawi tuuuu....
 
We keep the good music alive that me job. Asante binamu
 
Bibi kachoka mbio za vijana zimemshinda..... Ukweli mtupu Chomba.
 
Jamaa alivyo ovyo anaendelea kujibu majibu ya kizembe ni bora anyamaze kuliko kujianika na aendelee kuonekana hamnazo
 
We keep the good music alive that me job. Asante binamu

Ndio maana yake...... nyama choma na Shsss sio kila kitu nijuacho mi nakuwa nayaona 2 ayo mamboo Binamu..............
 
We BADILI TABIA Embu kachutame unye kule kujitia uzungu tu na pua lako la kibantu km chenza...ss huelewi nn hapo!?
 
Na wasiwasi na.jinsia yako.mkuu mleta mada ,how come unamponda msichana mtafutaji na wanaume hao,mhhh ila sijui lakini


Wewe kweli nnya...
Mtu akiambiwa ukweli anatakiwa ashukuru.
Bibi kachoka na keshachuja...
 
jamani huyu ni kichaa! Yani analinganisha bila kukunja goti na yahaya?? Jide anakunyima usingizi


Bila kukunja goti ni ya Afrika Mashariki, Magharibi, na kusini mwa jangwa la Sahara...
Futa mapovu njoo na hoja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…