Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tunaoiona kesho tulisimama imara na kuweka msimamo kuwa huyu kikongwe kaishiwa na anatapata tu ili apate huruma ya wakurupukaji...
yametimia ya waungwana.
hatimae Old Lady toka mkoa wa Mara zile nyimbo zake mbili ambazo alishauriwa akawauzie wakulima wa Mpunga ili zitumike kufukuzia Ndege, leo hii hazisikiki.
Joto hasira na Yahaya hata Kilabuni hazivumi tena, hapo anapofanya shoo na kwaya yake napo kwishney.
Wakati upande wa pili Mwana FA ambaye aliwahi kutuhumiwa na Bibi huyu akiwa anaunguruma ipasavyo kwenye kibao kilichoibamba Africa Mashariki kwa sasa kinachokwenda kwa jina la Cheza bila kukunja goti akiwa anafanya vema na kukimbiza.
Hakika Jide kapotea kama harufu ya Ushuzi...

Hahaha! huyu jamaa anaweza kukuharibia siku kwa comment zake.Gay chomba atakuwa kachukuliwa bwana na lady jaydee...mwanaume rijali huwezi kutumia muda kushindana na binti
We keep the good music alive that me job. Asante binamu
Na wasiwasi na.jinsia yako.mkuu mleta mada ,how come unamponda msichana mtafutaji na wanaume hao,mhhh ila sijui lakini
jamani huyu ni kichaa! Yani analinganisha bila kukunja goti na yahaya?? Jide anakunyima usingizi