Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
-
- #41
Sio bure wewe...
mleta uzi atakuwa yuko kwenye siku zake za mwezi. ngoja ipite wiki atarudi akiwa poa.
Lady JD anamuwasha maka lio huyu... na hamuwezi kipaji halisi kile...
Kila anayesikiliza hiyo ngoma ana mtu wake ampendaye humo kwa mfano mm nampenda AY. Lakini jide ni jeshi la mtu mmoko kitu Yahaya.
Nisaidie, wewe jamaa unawaza kwa kutumia nini? Kwa pumba ulizoandika hapa haziwezi andikwa na mtu anayewaza kwa kutumia kichwa.
Wapo wengine huwaza kwa kutumia njia za haja.
Gay chomba atakuwa kachukuliwa bwana na lady jaydee...mwanaume rijali huwezi kutumia muda kushindana na binti
cheza bila kukunja goti ndo nasikia sahv, huo wimbo kaimba nani?
kucheza bila kukunja goti ndo kitu gani??
Jamaa alivyo ovyo anaendelea kujibu majibu ya kizembe ni bora anyamaze kuliko kujianika na aendelee kuonekana hamnazo
very very styupd..so shame..mwanaume mzima unaposhadadia mambo ya kikuda sijui tukudefine vp!?hah hah hah hah kama nyimbo za jide zinatamba kwenye Bodaboda je za Msaga sumu?
Sio tajili
Ila leo nita make
Ili watu Wanijue yaaah
Sina kitu
Ila leo nita make
Mpaka watu wanijue yaaah
Cheza cheza bila kukunja goti
Cheza cheza bila kukunja goti...
very very styupd..so shame..mwanaume mzima unaposhadadia mambo ya kikuda sijui tukudefine vp!?
Gang Chomba naona unachangia mwenyewe huu uzi
"Cheza bila kukunja goti..?" Sijawahi kuusikia huu wimbo hata kwa bodaboda ila "Yahaya" nimemsikia sana akipigwa kila mahali