Lady JD chali, Watu Wanacheza bila Kukunja Goti...

Lady JD chali, Watu Wanacheza bila Kukunja Goti...

Nisaidie, wewe jamaa unawaza kwa kutumia nini? Kwa pumba ulizoandika hapa haziwezi andikwa na mtu anayewaza kwa kutumia kichwa.
Wapo wengine huwaza kwa kutumia njia za haja.


Teh teh teh Miongoni mwao ni wewe...
 
Gay chomba atakuwa kachukuliwa bwana na lady jaydee...mwanaume rijali huwezi kutumia muda kushindana na binti


Kumbe ana kipaji cha ziada?
na mabwana za watu kumbe anazoa?
hapa hakuna alieshindana na huyo old Lady...
Hapa ameambiwa ukweli.

Haya lete makalio yako hayo yaliyotepeta kisha njoo na pumba nyingine
 
Jamaa alivyo ovyo anaendelea kujibu majibu ya kizembe ni bora anyamaze kuliko kujianika na aendelee kuonekana hamnazo


Yahaya hata Kilabuni ilishachuja...
Sasa unataka ninyamaze kwa nini?
 
Hahahahahahah diiiiiiiiiiima haoooooooo kokoooooo diiiiiiiiima haooooooooo.....GangChomba Riffa Siempre..hv
 
Anamnunia nani wakati maisha kayachezea mwenyewe..anaishia kupiga show Shikamoo Pesa Pub.kutwa vingedere vya blue kutukana mitandaoni FA hata hajibu yani ile point tosha ya kujua nani mwehu na nani timamu...wakweeeeendweeee kuhara bruuuuuuuuuh
 
hah hah hah hah kama nyimbo za jide zinatamba kwenye Bodaboda je za Msaga sumu?


Sio tajili
Ila leo nita make
Ili watu Wanijue yaaah

Sina kitu
Ila leo nita make
Mpaka watu wanijue yaaah

Cheza cheza bila kukunja goti
Cheza cheza bila kukunja goti...
very very styupd..so shame..mwanaume mzima unaposhadadia mambo ya kikuda sijui tukudefine vp!?
 
"Cheza bila kukunja goti..?" Sijawahi kuusikia huu wimbo hata kwa bodaboda ila "Yahaya" nimemsikia sana akipigwa kila mahali
 
Cheza bila kukunja goti? ndo nini hiyo? au ndo kumpumliwa kisogn? muwe mnawaza wakati mnapo-post!
 
mleta uzi,napenda kuchkua nafasi hii kukupongeza na kuleta uzi usio na mashiko. pia nakuuliza JD unamjua vzr au unatka comment nying??
 
very very styupd..so shame..mwanaume mzima unaposhadadia mambo ya kikuda sijui tukudefine vp!?


Hah hah hah haya futa povu na mipovu hiyo...
hakuna lolote la Kikuda lililoandikwa kwenye thread hii.
Hapa amechambuliwa Bibi yenu huyo kuwa keshachuja.
bora nguvu iliobaki aielekeze kwenye kujenga Familia yake tu...
Mziki hauwezi tena, kabaki makelele na mayowe tu.
 
hv ule kama zamn c ulitoka baada ya joto hasira?? sa mbna c usikii huu wa kukunja got c collabo ya mtu tatu tena imetoka hv karbun?? cn uhakika na kipimo cha comparison kikoje!!
 
"Cheza bila kukunja goti..?" Sijawahi kuusikia huu wimbo hata kwa bodaboda ila "Yahaya" nimemsikia sana akipigwa kila mahali


mara yako ya mwisho kuusikia Yahaya ni lini?
Hata huko Kilabuni ambako unashinda na kukesha siku hizi hawaupigi...
Futa mipovu hiyo kisha piga kimya.
 
Back
Top Bottom