Lady JD chali, Watu Wanacheza bila Kukunja Goti...

Lady JD chali, Watu Wanacheza bila Kukunja Goti...

Wapi pana tusi?
hv unawajuwa Mods wa JF walivyo na njaa ya kuwafungia wadau?
Je pangekuwa na tusi unadhani mpaka muda huu ningekuwa nimesalimika?

Kama huna cha kuandike nenda kachukue kopo ukachambe...

usifikiri ni wote tunatumia hiyo......jaribu kuwa mstarabu walau kidogo.
 
Kubwa Jinga anajaribu kujitetea kila Post lakini kila anayesoma post hii anaishia kumdharau mleta mada...

Kunahitajika lianzishwe jukwaa la Post za Kijinga.... Gang atakuwa mchangiaji mkubwa sana...
 
Kale kawimbo....
Yahaya unaishi wapi kwani jina lako halisi nani NB badala ya yahaya weka gang chomba
 
Kubwa Jinga anajaribu kujitetea kila Post lakini kila anayesoma post hii anaishia kumdharau mleta mada...

Kunahitajika lianzishwe jukwaa la Post za Kijinga.... Gang atakuwa mchangiaji mkubwa sana...


Kama ambavyo wewe ulivyo kinara jukwaa la wapishi wenzio kule...
 
Kale kawimbo....
Yahaya unaishi wapi kwani jina lako halisi nani NB badala ya yahaya weka gang chomba


Angeweka jina hilo angeuza Dunia nzima...
Ila kwa kuwa akili yake ni kama ya Bata ndo akaweka jina la Yahaya...

mfunde kikongwe mwenzio...
 
Ati kaenda Kitchen Party Mashallah.. Gang Wimbo wa Mwanaume kama Mabinti unakufaa sana kuchukua nafasi ya Hassan


Kuna wimbo unaitwa ''hauvumi lakini umo''...yaani humo uliimbwa wewe mwanzo mwisho.
 
Kaishiwa yule.
usitarajie unachokitaraji...
nyimbo zake ni kama big G tu...



Kusema nyimbo za Jide ni kama Big G tu hujakosea sana kwani wanamuziki wote wa bongo fleva nyimbo zao ni kama big G tu bcs hazina mvuto wa kudumu.
 
tunaoiona kesho tulisimama imara na kuweka msimamo kuwa huyu kikongwe kaishiwa na anatapata tu ili apate huruma ya wakurupukaji...

yametimia ya waungwana.
hatimae Old Lady toka mkoa wa Mara zile nyimbo zake mbili ambazo alishauriwa akawauzie wakulima wa Mpunga ili zitumike kufukuzia Ndege, leo hii hazisikiki.
Joto hasira na Yahaya hata Kilabuni hazivumi tena, hapo anapofanya shoo na kwaya yake napo kwishney.

Wakati upande wa pili Mwana FA ambaye aliwahi kutuhumiwa na Bibi huyu akiwa anaunguruma ipasavyo kwenye kibao kilichoibamba Africa Mashariki kwa sasa kinachokwenda kwa jina la Cheza bila kukunja goti akiwa anafanya vema na kukimbiza.

Hakika Jide kapotea kama harufu ya Ushuzi...

Wivu tu unakusumbua,mbona hizo song ndo habari ya mjini?
 
Aliekutuma uje huku kampe feedback kwamba Gt wanamuelewa knoma Anacconda kulko huyo Mwanafatuma
 
Gang Chomba
Kinachonifurahisha ni ule uwezo wako wa kusoma mawazo ya watu kabla hawajakurupuka na kuwazima kwa hoja. Fikra zako zidumu, God bless JF
 
Last edited by a moderator:
Mleta mada umepata majibu rudi na #Team yako mjipange upya.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom