Lady JD chali, Watu Wanacheza bila Kukunja Goti...

Lady JD chali, Watu Wanacheza bila Kukunja Goti...

Wewe gang umetumwa....pole sana waambie waliokutuma waache kuhaha juu ya mafanikio yasioshuka ya mdada jide!big up sis!
 
Wewe gang umetumwa....pole sana waambie waliokutuma waache kuhaha juu ya mafanikio yasioshuka ya mdada jide!big up sis!

umetumwa wewe.....kashuka sana ili ajaze watu lazima atafute beef ili tujue eeeh kumbe yupo,,........!
 
hah hah hah hah kama nyimbo za jide zinatamba kwenye Bodaboda je za Msaga sumu?

Sio tajili
Ila leo nita make
Ili watu Wanijue yaaah

Sina kitu
Ila leo nita make
Mpaka watu wanijue yaaah

Cheza cheza bila kukunja goti
Cheza cheza bila kukunja goti...

Huna tofauti na mbeba jezi za wachezaji.Leo umekunywa bia mbili za mwana FA unajifanya unajua saaana kumfagilia. Kesho ukinywa supu kwa mwingine,utamnyali FA.Sikia kijana,acha CHUKI zisizo na tija,mbona wewe usiimbe tukusikie na sauti lako kama mvuta Ugoro?!

Acha kujichafua mbele za watu,utaumbuka.Unabeep kujamba na hali tumbo limekuchafuka?! Nenda chooni ukajiswafi,utageuka gari la taka bureee...
 
Back
Top Bottom