Ladynaa Ana Tatizo Gani?

madada wa mjini umalaya sio dili
ndoa imefungwa 2010 dogo kafa ana seven years yaani ndani ya mwaka mmoja tu wa ndoa kachepuka na kwenda kutiwa mimba kwa mwingine......ndio maana wanaume tunakua wagumu sana kukubali mkituambia mna mimba
miaka yote iyo mtoto katumika kama kitega uchumi kwa mumewe halali wa ndoa
 
Kwahiyo inamana hizi dini tunazoamini si uhalisia?

Hizo tena??? That should go without saying! Ni magirini tu.

Unaamini(imani) mtoto uliemzaaa na mkeo/mchumba/demu ni wa kwako lakini kiuhalisia si wako

Kwa vile hilo ni suala la uhalisia, ninajua ni wa kwangu. Hakuna imani hapo. Ninajua.

Three separate paternity tests yielding the same exact results at each time is not an acccident.

That’s science: not belief.
 

Sijambo kaka

Jamani unajua tena baba wewe wa kimombo hadi ukafanya uchukiwe humu.. sasa unawaambia wajue unasura na mwili usiozeeka .. awuuuu watapata tabu sana aiseeee..

Ila naona wamepoa kukuripoti ripoti maana unawakimbiza..

Mimi ningependa utoe darasa la kimombo.. yaani unaandika kwa kuanzisha uzi na unaeleza maana ya masentensi au maneno.. eeeh watakuja mbio fans wako kukusoma.. wapige kipigo cha mbwa koko

Ila una kitabu kumbuka tunakisubiria

Kuhusu elimu ya lini na lini katika misiba ilitokea mwaka huu nilipata picha hiyo eeeeeeeeeh.. kama nakuona nakujua haya weee.. tutaishia kukutana kwa jf posts as inatosha.
 

Hahaaaa Coco bana.....unanichekeshaga sana!

Huwa narudia kusoma mara tatu uandikavyo!

Halafu saa nane hii hujalala tu? Au na wewe umeishiwa dozi yako ya valium [sijui nimepatia tahajia?]?

Mi hapa nimeishiwa aisee na huku Mlalakuwa baa zote zimefungwa. Sina pa kwenda.

Ni mkesha hadi kukuche nitafute mtu wa kwenda kuninunulia vidonge vyangu teh teh teh!
 

Yaani nini kimekusukuma utanie na hayoooo..
upo simati sana wewe kuwa hivyo.. ila usinitanie na hayo unajua nitasikitika mdau wako wa JF.. mhenga mwenzangu.😀

Sasa unaniuliza mimi huku unajua umepatia eeeeh ticha wetu wa JF jamani...

Kulala nipo likizo natafuna pesa ya jasho langu..
 
Hivi mnadhani kuokoka ni kama kueka picha insta unalia madhabahuni eeeh. Mimi siamini wokovu wa huyo dada. Sana sana nitasema alimrudia Mungu mwanae apone ila sio kwamba alimaanisha kumtumikia Mungu
Hapa umenena ngoja tuone kama ulokole utaendelea...!!!mjini ataishije sasa
 
Kwani hao wote uliwataja kuna mmoja ana tofauti na mwenzake...Si wema si Muna si esna si ladyna si zari wote wale wale.....Wanaenda na upepo tu leo mtawashibikia kesho mtawatukana kutokana na skendo itakapolalia.
Halafu habari bila PICHA hainogi
 
mtoto kama sio wake kwanini huyo mwanamke alikua anamsumbua jamaa hela za matumizi, shule, matibabu etc asimsumbue biological father wake.....there is something fishy huyo demu ana matatizo sana
Mwanaume sometimes jiongeze!
 
Huyu naye ni msanii maarufu bongo au Somalia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…