BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
Wa digo naona ndo wenye lafudhi nzuri zaidiMoja katika lafudhi bora Tanzania kulinganisha na lafudhi za makabila mengine wamakonde wanajua sana.
Imagine Taifa Zima tungekuwa na lafudhi hiyo ingekuwa easy kutambulika international yaani unaongea wanajua huyu mwamba toka Tanzania.
Naona BabaMorgan ameamua tu kutuchokoza😃
Ni kweli mna lafudhi nzuri sana ntu wanguNaona BabaMorgan ameamua tu kutuchokoza😃😃
Ndiyo wale wa "Nyumbii ...Bombii".....Tatizo wale jamaa wanazingua yaani wao baada ya kusema Ntu wanakuja wanasema Ntu.
Ni nzuri lakini hapana kwakweli😂😂😂Ni kweli mna lafudhi nzuri sana ntu wangu
Kwa nini hapana tena 😊Ni nzuri lakini hapana kwakweli😂😂😂
Kila ntu avena....Naona BabaMorgan ameamua tu kutuchokoza😃
Mbona hapa wewe ndio umezingua?Tatizo wale jamaa wanazingua yaani wao baada ya kusema Ntu wanakuja wanasema Ntu.
Usiniambie umemkumbuka yule rafiki yako umpigie simu😂Kila ntu avena....