Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,749
- 62,766
NakaziaHebu tupe mfano mmoja wa Mtu maarufu mwenye lafudhi ya Kimakonde bila ya stereotypes.
NakaziaHebu tupe mfano mmoja wa Mtu maarufu mwenye lafudhi ya Kimakonde bila ya stereotypes.
Ile lafudhi mbovu kabisaWahaya maana hata asome vipi akae vipi ulaya kalafudhii kakihaya hakatoki
Lkn hakuna lugha ukichanganya na kingereza inanoga Kama kihayaIle lafudhi mbovu kabisa
Bwana weewe!!Bhaaaaa! Kweliiii somo.
Hiyo ni ntu na ntu NkuuMbona hapa wewe ndio umezingua?
Ntu au Mtu?
Ungejua ninavyo mmiss! Mungu tu anajuaUsiniambie umemkumbuka yule rafiki yako umpigie simu😂
Ushaweka na zile nyimbo zako😂😂Ungejua ninavyo mmiss! Mungu tu anajua
Mth..kowwMoja katika lafudhi bora Tanzania kulinganisha na lafudhi za makabila mengine wamakonde wanajua sana.
Imagine Taifa zima tungekuwa na lafudhi hiyo ingekuwa easy kutambulika international yaani unaongea wanajua huyu mwamba toka Tanzania.
Ya kihaya ndio ingekuwa unyamaMoja katika lafudhi bora Tanzania kulinganisha na lafudhi za makabila mengine wamakonde wanajua sana.
Imagine Taifa zima tungekuwa na lafudhi hiyo ingekuwa easy kutambulika international yaani unaongea wanajua huyu mwamba toka Tanzania.
GeteBora ya kisukuma.
Au Shimba ya Buyenze unasemaje
Usinilize! Nikumbuka huu wimbo na rafiki yangu huko Mwenge. Usicheze na ukutane na chotara wa kila ntu na mgoni.Ushaweka na zile nyimbo zako😂😂
Ooh jamani ☺️☺️Usinilize! Nikumbuka huu wimbo na rafiki yangu huko Mwenge. Usicheze na ukutane na chotara wa kila ntu na mgoni.
View attachment 3031031
Kwani unakoseaga basi malkia wa kizazi chetu? You are always on point!Bora ya kisukuma.
Au Shimba ya Buyenze unasemaje