Lafudhi ya Kimakonde ingekuwa ya Taifa zima ingekuwa utambulisho mzuri

Moja katika lafudhi bora Tanzania kulinganisha na lafudhi za makabila mengine wamakonde wanajua sana.

Imagine Taifa zima tungekuwa na lafudhi hiyo ingekuwa easy kutambulika international yaani unaongea wanajua huyu mwamba toka Tanzania.
Mth..koww
 
Ya kihaya ndio ingekuwa unyama
 
Nkuu wa nkoa wa ntwaraa anachikitika kua kwa nini wananchi wake wanakula panya. Aahh kubabake eti ndio Tz nzima tuongee ivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…