Lagos to New York by Kenya Airways.

Lagos to New York by Kenya Airways.

But KQ is expecting to get 200k$ loss at the first quarter of this year.

Sebastian Mikosz is quite a great performer, go-getter guy.
Big companies play big. You won't understand with your tiny ATCL operating on the taxpayers money.
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya wakenya na watanzania.
Wakati wakenya wakiwa positive na kusifia KQ humu humu jf uzi huu watanzania wajiponda cha kwao. Hapa ndio wakenya wanapowaona watanzania wajinga.
 
Tena Freshians since the time udogo wangu in fact I can give you their names as catalogued in the books.
Jamaa alipo taja jina la ngombe akukosea tatizo lenu Kenya ni utumwa wa kingereza sisi tunajitaidi kuweka majina katika mfumo wetu wa kiswahili ili kurahisisha utamkaji na kukuza lugha yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom