Laiti "ADAM na EVA" wangekuwa WACHINA

Nilitaka nianzishe ubishi kati ya Chit Chat na Jukwaa la Jokes lipi linaburudisha, lakini kwa sasa naona Jokes wako juu sana.

Hongera mkuu kwa kuipaisha Jokes.
 
​Laiti ADAM na EVA wangekuwa WACHINA nadhani dhambi isingekuwepo duniani kwasababu badala ya kula lile TUNDA wangemla yule NYOKA.

Uuuuuuuwwwwwiiiiiiiiiii dah hatar kweli umetisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…