Yeyote anayekuwa upande wa Haki, yuko upande sahihi.Msikilizeni sana askofu,mpigieni makofi pale anapoongea yenye kuliponya taifa lakini msimuamini sana kupita kiasi kwakuwa yeye naye ni mbogamboga wale wale
Tulia PONJORO weweView attachment 3352986
Siyo siri wala uvumi tena. CCM sasa iko msambweni tokana na matamko ya makada wake wawili Mwenyekiti Samia Suluhu Hassan na Mnec Josephat Gwajima. Laiti wawili hawa wangenyamaza badala ya kuanika nguo zao za ndani hadharani.
Kwanza, Gwajima kama. mtu aliyetolewa jalalani na Magufuli na kumpa ubunge, siyo saizi ya Samia ambaye si Mwenyekiti tu bali Rais wa Jamhuri.
Pili, Gwajima alitaka kujipendekeza akaishia kujiteketeza kwenye chama kilichomvumilia kwa biashara yake ya kitapeli ya kiroho.
Tatu, ni rahisi kujua kuwa CCM itapata kazi kubwa kumshughulikia Gwajima ingawa nina uhakika watamshughulikia.
Nne, badala ya kuvuana nguo, wangeshughulikia tatizo la utekaji na ukamataji wapinzani na kuwabambnikizia kesi.
Tano, kwanini Gwajima kaona hili tatizo karibu na uchaguzi wakati lilianza wakati wa Magufuli aliyemtengeneza Gwajima kama alivyodai mbunge na msukuma mwenzake Kasheku Msukuma?
Sita, je Gwajima ana udhu wa kuaminika hata kuheshimika wakati alikuwa ndani ya chama kile kile anachokizodoa kwa kushindwa kusitisha utekaji?
Mbona. hajaongelea ufisadi na ugaidi vya kutisha ambavyo naye ni mshirika na mnufaika?
Shame on you ponyokoTulia PONJORO wewe
Watajibu nini wakati amejitekenya na kujikesha ilhali lao moja?Nasisitiza tena, katika wote waliojaribu kumjibu Gwajima, hakuna aliyemjibu.
Heri mjinga kuliko zwazwa ambalo halijiulizi ni kwanini sasa na siyo tangu balaa la utekaji lilipoanza. Twaelekea kwenye uchaguzi mjueWe mjinga kweli,
Wanyamaze Ili utekaji iendelelee?
Kwenye haya naelezo tako umejikita kumchamba zaidi Gwajima kuliko huyo Bibi yako Hadija Kopa! Bila shaka na wewe ni wale wale tu. Maponjoro msio jielewa.View attachment 3352986
Siyo siri wala uvumi tena. CCM sasa iko msambweni tokana na matamko ya makada wake wawili Mwenyekiti Samia Suluhu Hassan na Mnec Josephat Gwajima. Laiti wawili hawa wangenyamaza badala ya kuanika nguo zao za ndani hadharani.
Kwanza, Gwajima kama. mtu aliyetolewa jalalani na Magufuli na kumpa ubunge, siyo saizi ya Samia ambaye si Mwenyekiti tu bali Rais wa Jamhuri.
Pili, Gwajima alitaka kujipendekeza akaishia kujiteketeza kwenye chama kilichomvumilia kwa biashara yake ya kitapeli ya kiroho.
Tatu, ni rahisi kujua kuwa CCM itapata kazi kubwa kumshughulikia Gwajima ingawa nina uhakika watamshughulikia.
Nne, badala ya kuvuana nguo, wangeshughulikia tatizo la utekaji na ukamataji wapinzani na kuwabambnikizia kesi.
Tano, kwanini Gwajima kaona hili tatizo karibu na uchaguzi wakati lilianza wakati wa Magufuli aliyemtengeneza Gwajima kama alivyodai mbunge na msukuma mwenzake Kasheku Msukuma?
Sita, je Gwajima ana udhu wa kuaminika hata kuheshimika wakati alikuwa ndani ya chama kile kile anachokizodoa kwa kushindwa kusitisha utekaji?
Mbona. hajaongelea ufisadi na ugaidi vya kutisha ambavyo naye ni mshirika na mnufaika?
Haya hawa hapa wenye nchi mtajijuaWa jalalani ni huyu kizimkazi wewe ulimfahamu lini?
View attachment 3352986