Laiti kama jana ningekuwa na ka manati kangu ka kizungu hata cjui nini kingetokea

Laiti kama jana ningekuwa na ka manati kangu ka kizungu hata cjui nini kingetokea

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We jamaa muongo ile mbaya, yaan ulianza furesh, then ukaja kumaliza ki uongo kweli kweli
 
General Galadudu. Huwa nakufananisha sana na yule jamaa wa JEANS ya LEE aliyekuwa akimkaba NNAUYE jana.
Kwani tofauti na jana kuna siku nyingine tena amewahi kumfanyia ivo, maana kwa kauli yako inaonekana umeanza kunifananisha nae siku nyingi
 
General Galadudu na kamanati kake ka Mungu..vipi yule tupinkele aka Albino umeweza kumuacha kweli bila madhara yeyote Yale??
Kitu nilichokifanya hata haamini kabisa macho, akili wala masikio yake na hana tena ubavu wa kuja kunipiga mkwara
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We jamaa muongo ile mbaya, yaan ulianza furesh, then ukaja kumaliza ki uongo kweli kweli
Kwa mtazamo wako mkuu ulitegemea habari hii ingetakiwa iweje hadi mwisho
 
Ngumi tatu za chembe? Akawa na nguvu za kuinua kitu?
Ngumi moja tu ya chembe inakuacha chini kwa sekunde 20 mpaka 25 labda kama wewe mpigaji hauna ngumi kali.

Kwa hili tukio moja tu, hii ni home made story.

Sorry though nimeshindwa kujifanya sielewi kitu.
 
Huwa nafanya mambo yangu kwa mahesabu ya juu sana, na hilo ni mojawapo ktk hayo mahesabu yangu
 
General unakula papuchi ya mtu halafu unampiga
Ngoja nimtafute mkeo,nikuonyeshe...
Mkuu kujihami inaruhusiwa kabisa, we unadhani ningekaa kusubiri waje wafanye walichopanga leo hii ningekuwa na ubavu wa kuwaelezea chochote hapa
 
Back
Top Bottom