Sasa utampataje asipojuaMi simtaji mana nikimtaja akajua ndo ataanza kunitesa kisaikolojia
Sent using Jamii Forums mobile app
Aidha ufungue kufuli au uanze ww kwa majaliwa la sivyo nitakufa na maneno yanguJamani jamani
Sent from my SM-N920C using Tapatalk
Usinijaze mkuu, mbona mambo mazuri hayataki harakapeterchoka mwaga sera wewe acha kuzunguka kama tairi aiseee. Muelezee HS jinsi alivyougusa moyo wako
Ndukiiiii πββοΈπββοΈπββοΈ
Tena ameshatoa na comment kwa huu uziSasa utampataje asipojua
muosha rungu
Mkuu peterchoka huhitaji kitamtarira kingi mwambie tu Heaven Sent umeugusa moyo wangu, nimestahmili muda kukujulisha lakini leo nakwambia bayana. Wewe ndie nikutakae,ndie nikupendae naomba ulipokee ombi langu la upendo kwako. Tuyajenge kidogo dogo haraka siiwezi, naomba jibu lako niwe wako mpenzi.Jamani jamani
Sent from my SM-N920C using Tapatalk
Hiyo mistari mzee baba si anaweza akakupenda ww sasaMkuu peterchoka huhitaji kitamtarira kingi mwambie tu Heaven Sent umeugusa moyo wangu, nimestahmili muda kukujulisha lakini leo nakwambia bayana. Wewe ndie nikutakae,ndie nikupendae naomba ulipokee ombi langu la upendo kwako. Tuyajenge kidogo dogo haraka siiwezi, naomba jibu lako niwe wako mpenzi.
Ndukiiiii πββοΈπββοΈπββοΈ
ππππHiyo mistari mzee baba si anaweza akakupenda ww sasa
MKUU SKUNKI BADO UNAYO?Zari
Ndukiiiii πββοΈπββοΈπββοΈ
Sitovuta tena ile kitu mkuu manake ilinifanya nitembee kilometer 5 bila kujijuaMKUU SKUNKI BADO UNAYO?
Aidha ufungue kufuli au uanze ww kwa majaliwa la sivyo nitakufa na maneno yangu
HAHAHA NIMEONA UMEJIBU "ZARI", NIKAHISI BADO UNAYOSitovuta tena ile kitu mkuu manake ilinifanya nitembee kilometer 5 bila kujijua
kumbe..!! hapo vizur
Yaani wewe kila siku kuwaza dudu humsikii kwenye mijadala ya kimaendeleo na kiteknologia we ni dyudyu tyu,ndo maana wakongwe wamekimbia JF sababu ya panzi kama ninyi
Jamani mkuu mimi hata shule sjasoma niwaze nini zaidi ya mapenzi hebu nishauriYaani wewe kila siku kuwaza dudu humsikii kwenye mijadala ya kimaendeleo na kiteknologia we ni dyudyu tyu,ndo maana wakongwe wamekimbia JF sababu ya panzi kama ninyi
Sent using Jamii Forums mobile app