Laiti mwana jf huyu angekuwa single!

Laiti mwana jf huyu angekuwa single!

Jamani jamani

Sent from my SM-N920C using Tapatalk
Mkuu peterchoka huhitaji kitamtarira kingi mwambie tu Heaven Sent umeugusa moyo wangu, nimestahmili muda kukujulisha lakini leo nakwambia bayana. Wewe ndie nikutakae,ndie nikupendae naomba ulipokee ombi langu la upendo kwako. Tuyajenge kidogo dogo haraka siiwezi, naomba jibu lako niwe wako mpenzi.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Hiyo mistari mzee baba si anaweza akakupenda ww sasa
 
Back
Top Bottom