nitakuja Tanga tuyajenge
Umenifanya nijaribu tena na nimekutana na kufuli tena sasa sina budi kukuambia tu hapa mbele ya hadhira kuwa moyo wangu umekudondokea, tafadhali uuokote na kuupa hifadhi ktk himaya yako, unipe nafasi niwe wako uwe wangu, nakupenda mtoto wa mwanamk mwenzio tafadhali naomba ukubali nikufanye malkia wangu, love u mingi mingiMbona sijafunga mie jamani
Sent from my SM-N920C using Tapatalk
Umenifanya nijaribu tena na nimekutana na kufuli tena sasa sina budi kukuambia tu hapa mbele ya hadhira kuwa moyo wangu umekudondokea, tafadhali uuokote na kuupa hifadhi ktk himaya yako, unipe nafasi niwe wako uwe wangu, nakupenda mtoto wa mwanamk mwenzio tafadhali naomba ukubali nikufanye malkia wangu, love u mingi mingi
Hapana si kweli, ila mambo ndo Kama hayo yapo wazi unipe japo nafasi moyo wangu uwe na amani, nataka niwe "baba mchungaji"Basi kuna mod una beef naye, mbona pm za wengine zinakuja?
Sent from my SM-N920C using Tapatalk
Pole sana inaonekana unazidisha amila kwenye msosimwenye matakoo
sijaelewa mada
katibu husahau tu???Pole sana inaonekana unazidisha amila kwenye msosi
Hapana si kweli, ila mambo ndo Kama hayo yapo wazi unipe japo nafasi moyo wangu uwe na amani, nataka niwe "baba mchungaji"
Maneno mengi nitadanganya mrembo wangu, kwanini usinipe nafasi nifanye kwa vitendoDaah unajua me napenda kuandika mijigazeti, ongeza ongeza maneno mazuri basi
Sent from my SM-N920C using Tapatalk
Duh ulijua nime left in pisi?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kidogo nishanfae mbona hata rambi rambi cute b hakuniambia nichangie!!!
Teh na kweli nimezoea kudanganywa mweehManeno mengi nitadanganya mrembo wangu, kwanini usinipe nafasi nifanye kwa vitendo
Hapo utakuwa umeamua kukunja tu na sitakuwa na la kuongeza tena maana kuongopa nako kipajiTeh na kweli nimezoea kudanganywa mweeh
Sent from my SM-N920C using Tapatalk
Hata me najua mkuu ndo maana nalialia, angekuwa kichwa maji unadhani ningepata tabu basiAkikupata atakuwa kaopoa papa kwenye dimbwi
muosha rungu