Laiti mwana jf huyu angekuwa single!

Laiti mwana jf huyu angekuwa single!

Mbona sijafunga mie jamani

Sent from my SM-N920C using Tapatalk
Umenifanya nijaribu tena na nimekutana na kufuli tena sasa sina budi kukuambia tu hapa mbele ya hadhira kuwa moyo wangu umekudondokea, tafadhali uuokote na kuupa hifadhi ktk himaya yako, unipe nafasi niwe wako uwe wangu, nakupenda mtoto wa mwanamk mwenzio tafadhali naomba ukubali nikufanye malkia wangu, love u mingi mingi
 
Basi kuna mod una beef naye, mbona pm za wengine zinakuja?

Hapana si kweli, ila mambo ndo Kama hayo yapo wazi unipe japo nafasi moyo wangu uwe na amani, nataka niwe "baba mchungaji"
 
Back
Top Bottom