Mdada unaemuona ofisini kwenu au mtaani kwenu ndiye huyo huyo member wa jf.....watu tuliopo huku hatutokei sayari ya mars mkuu ni haohao tunaopishana barabarani kila uchwaoMademu wa Jf kwangu wa nini, ndo yaleyale ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia,
Kwani ahera mnatumia hela?
Binti yangu mpoleeee kama mama yake.[emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wa JF tuna kaeneo ketu tunakozaliwa na kukulia huko. Hatufanani na wa mtaaniMdada unaemuona ofisini kwenu au mtaani kwenu ndiye huyo huyo member wa jf.....watu tuliopo huku hatutokei sayari ya mars mkuu ni haohao tunaopishana barabarani kila uchwao
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Mkali wa kitu gani?
Hahahahahahaha watu wanakariri vibaya mweeehWa JF tuna kaeneo ketu tunakozaliwa na kukulia huko. Hatufanani na wa mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuta bora sie. Kwanza mwanamke akishakua huku hata akili yake inawaza tofauti
Umeona eeehUtakuta bora sie. Kwanza mwanamke akishakua huku hata akili yake inawaza tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani ahera mnatumia hela?
Brain[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Mkali wa kitu gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kashamaliza yote hapo, achana na huko Pm,Basi kuna mod una beef naye, mbona pm za wengine zinakuja?
Sent from my SM-N920C using Tapatalk
Mkuu ukishindwa nipe pasi nijaribuHata me najua mkuu ndo maana nalialia, angekuwa kichwa maji unadhani ningepata tabu basi
Hii ndo inafanya vijana kuwa machizii...Wa JF tuna kaeneo ketu tunakozaliwa na kukulia huko. Hatufanani na wa mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakifa wamependaa. Eti mtu avatar tu anadata nayo sasa mtu huyo kwanini asifeHii ndo inafanya vijana kuwa machizii...
Imagination mnazowapaa mtawauaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nanyie kuwa ua mnajua,Wakifa wamependaa. Eti mtu avatar tu anadata nayo sasa mtu huyo kwanini asife
Sent using Jamii Forums mobile app