Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Mdada unaemuona ofisini kwenu au mtaani kwenu ndiye huyo huyo member wa jf.....watu tuliopo huku hatutokei sayari ya mars mkuu ni haohao tunaopishana barabarani kila uchwaoMademu wa Jf kwangu wa nini, ndo yaleyale ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia,
Sent using Jamii Forums mobile app