Paap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 1,493
- 1,401
Teh na kweli nimezoea kudanganywa mweeh
Sent from my SM-N920C using Tapatalk
Mpendwa upo!!!! Naona umefunga pm sijui huduma ya maombi tunaipataje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh na kweli nimezoea kudanganywa mweeh
Sent from my SM-N920C using Tapatalk
Ndo nashangaa hapa kuwa pm yangu imefungwa khaaaMpendwa upo!!!! Naona umefunga pm sijui huduma ya maombi tunaipataje
Ndo nashangaa hapa kuwa pm yangu imefungwa khaaa
HahahaaahahaaKila nikitizama hii avatar naona ni wewe kabisa, sijui kwanini
Imekaa kipole kama wewe
Ndio yalee jamaa katumwa apeleke posa kaoa yeyeHiyo mistari mzee baba si anaweza akakupenda ww sasa
Acha kumtesa mtoto wa mwanamke mwenzio, mtu akikudondokea na wewe dondokaaaa!Ndo nashangaa hapa kuwa pm yangu imefungwa khaaa
Haha maombi utapata hapahapa
Nilishadondokaga hadi nikaamua nilalage tu chini kabisa teh. Missed you MOTPAcha kumtesa mtoto wa mwanamke mwenzio, mtu akikudondokea na wewe dondokaaaa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha roho mbaya mbona miss natafuta hujamuweka au ye ni muhenga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unatamani mwana jf gani laiti angekuwa single halafu anatafuta! Ili ujaribu bahati yako!
Mfano wa mbitiyanza demi yn4 ray shunie mzigua mama Sabrina sky eslat heaven sent everyn salt kapeace ukyut hajar demiss
Na wengine kibao
muosha rungu
Wapi T akeeeee. Kupendwa kama koteeeeMi ningekua above 18 ningefika bei kwa Nalendwa.
I would pick her up in a Sukhoi 57 or F35 lightning, alafu naweka ulinzi wa Navy seal and all the best Russian snipers, honeymoon ni kuleee demilitarized zone kati ya north and south Korea ambako wambea wa JF hawafiki!
Her mellanin is hot, anaweza hata kuheat a cold war.Trust me, she would make my life great again like trump!
Au ningejitosa kwa Mzigua. Nani ambae hataki vitu vya kitanga? Short and sweet, waja leo waondoka leo hahaa.
Hivi kwanini sikuzaliwa mapema?
Wakubwa wanafaidi asee
Haya Espy na mwenzio HS, leteni maneno najua yamewajaa ghafla!
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]
Miss you too, mnajua kujificha nyie!Nilishadondokaga hadi nikaamua nilalage tu chini kabisa teh. Missed you MOTP
Sent from my SM-N920C using Tapatalk
shukrani.!!.nitakaribia
Halafu matani ya kweli sipendi...Jamii forum na mapenzi ya hisia,hapo unakuta jamaa anamvutia hisia Mzigua90 kuwa ni bonge la demu alafu unakuja kutana na kitu cha kawaida mchina anasubir[emoji23][emoji23][emoji23]ila jamii forum raha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Anakupima imani,ujielezeee upoje!haha
Atakua ananijua huyu mkuu... maana nina flat kama lotee halafu ananisem hukuAnakupima imani,ujielezeee upoje!haha
Haha,wazuri hawajisifii saana kwani wanajiamini,wewe u mmoja wao..haupo mbali sana na avatar yako jumlisha au toa kidogoAtakua ananijua huyu mkuu... maana nina flat kama lotee halafu ananisem huku
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti eeh.Haha,wazuri hawajisifii saana kwani wanajiamini,wewe u mmoja wao..haupo mbali sana na avatar yako jumlisha au toa kidogo
Alitaka umprove wrong,haha sema nini,anakukubali ndio maana kakutaja ,anaekufwatilia michango yako si rahisi kuacha kufall in love hata na username/avatar tuAtakua ananijua huyu mkuu... maana nina flat kama lotee halafu ananisem huku
Sent using Jamii Forums mobile app