Laiti mwana jf huyu angekuwa single!

Laiti mwana jf huyu angekuwa single!

Mara nyingi wazuri wameshazoea kusifiwa,sasa kwa nini wajisifu?sanasana ni nguo tu watachagua vizuri ili kuendelea kuzua taaruki mtaani
 
Unatamani mwana jf gani laiti angekuwa single halafu anatafuta! Ili ujaribu bahati yako!

Mfano wa mbitiyanza demi yn4 ray shunie mzigua mama Sabrina sky eslat heaven sent everyn salt kapeace ukyut hajar demiss
Na wengine kibao

muosha rungu
Mkuu muosha rungu, unatamani wangekuwa single ili ukaoshe rungu au vp?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom