Laiti mwana jf huyu angekuwa single!

Laiti mwana jf huyu angekuwa single!

Michepuko sitokutendea haki kuna kitu nitakua ninakudhukumu....

Napendaga tu company yako halafu nikiingia jf na zoom avatar yako napitia baadhi ya comment zako moyo unatulia kabisa.....

Ila siku moja nitakutafuta na imani utakua rafiki mzuri nje ya jf....

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe utakua kama wale wanaochanganyikiwa kwa avatar eeh. (Nakutani)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe utakua kama wale wanaochanganyikiwa kwa avatar eeh. (Nakutani)

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana avatar mbona vitu vya kawaida sana hivi.....

Ni vile unanivutia unavyojiachia (open mind woman) hata ikitokea tunapata moja baridi sitokua bored hata.....

Na imani utakua mcheshi pia (maana sinaga story kiivyo [emoji4] )

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom