Laiti wapinzani wangekuwa serious kipindi hiki wangechukua nchi kiulaini, ila vyama vyao vinakasoro za wazi kubwa, mfano, chadema, ukabila. CUF udini.
This was their time ila they need first to solve their internal open problems then ndo waje na mgombea potential. CCM wameprove big weakness this time since Kikwete got into power.
Bt i m so sad i don know who will save our nation. Anyway, we r coming home we will try.
Sidhani na unachojaribu kusema!! Nchi ni yangu na yako!! Umaskini ni wangu na wako sio wa wapinzani kama unavyosema!! MAgeuzi ya kifikra lazima uwe nayo kwanza. Khanga, t.shirt, uongaji wa kijinga hata roli la pipi. HAtutaendelea kwa mtindo huu. Usifikiri vidonda vya CCM walivyotengeneza vitapona sasa hivi. namaanisha pesa waliotumia utalipa mimi na wewe. Si kitu cha kushabikia. HILI NI JANGA LINGINE. POLE
wanaccm wanafiki huwa mnaboa sana mnavyopretend kuwa mna nia nzuri na upinzani.
Mie najaribu kuwa fair, watu humu ni washabiki sana wa chama kimoja lakini hawaelezi ukweli. Sisemi ccm ni wazuri, hata kidogo simkubali JK. Lakini siwezi tu kukubali chadema au cuf eti sababu ccm ni wabaya, I thank God i m a bit educated i know how to follow events and read news. .
Sidhani na unachojaribu kusema!! Nchi ni yangu na yako!! Umaskini ni wangu na wako sio wa wapinzani kama unavyosema!! MAgeuzi ya kifikra lazima uwe nayo kwanza. Khanga, t.shirt, uongaji wa kijinga hata roli la pipi. HAtutaendelea kwa mtindo huu. Usifikiri vidonda vya CCM walivyotengeneza vitapona sasa hivi. namaanisha pesa waliotumia utalipa mimi na wewe. Si kitu cha kushabikia. HILI NI JANGA LINGINE. POLE
Hebu mjaribu ku behave as civilized pple hapa JF ili tuwavutie wengi pia wajiunge na JF na sio waone ni jukwaa la washabiki wa chadema tu.
.
Mie najaribu kuwa fair, watu humu ni washabiki sana wa chama kimoja lakini hawaelezi ukweli. Sisemi ccm ni wazuri, hata kidogo simkubali JK. Lakini siwezi tu kukubali chadema au cuf eti sababu ccm ni wabaya, I thank God i m a bit educated i know how to follow events and read news. Always sitaficha whtever bad i c in our political parties.
Tuache ushabiki usiojenga, huu ndo umetufikisha kwenye hali hii mbaya. Wananchi wetu wako too illiterate hawatambui nani wakumpigia kura, ndo maana watu kama kina captain komba leo ni wabunge, nasikia hata kina sugu pia wanaenda bungeni. Tumegeuza bunge kuwa sehemu ya ufahari na pa kutafutia pesa na sio public serving place. We have even lost strong institutionalism in our country bse of this ushabiki.
Hebu mjaribu ku behave as civilized pple hapa JF ili tuwavutie wengi pia wajiunge na JF na sio waone ni jukwaa la washabiki wa chadema tu.
"If U Stand for the truth U will always stand alone" (lucky philip dube).
Mafisadi mpotelee huko huko kwenye ufisadi wenu
upuuuzi, hakuna muda wakujadili mawazo yawajinga
Huyu dada jana usiku alisema yuko Hong Kong huenda ni kwa hisani ya mafisadi
Ndibalema, namuona anapoint, ila anatatizo moja, expectations zake ziko juu kupita maelezo, so kwa kiasi fulani anaboa na sio mtu wa kumuamini kama wewe ndio mgombea na yeye ndiye supporter wako.... I mean kwa kuwa na hisia badala ya fact kama anvyoonekana