Elections 2010 Laiti wapinzani wangekuwa serious

Elections 2010 Laiti wapinzani wangekuwa serious

Hujui tu Sugu anakitu gani cha ziada..!! tatzo umekuwa to mch educted had elimu yko haikusaidi!! Unaweza nitajia sera hata 3 za Sugu hadi uponde hvyo..??
Ebu toka njiani tupite, kuwa huko uliko ndo unathani unajua lililopo Tz
 
Huyu dada jana usiku alisema yuko Hong Kong huenda ni kwa hisani ya mafisadi

Mie niko hongkong kwa shughuli zangu na si kwa njia ya mafisadi, na pili mie sio dada mie ni kaka. Na ninawachukia mafisadi kuliko hata wewe, wa kwanza akiwa ni lowasa na timu yake yote. Tanzania ndo naishi lazima nitambua sehemu yangu katika kuchangia pato la nchi yangu hata kama mafisadi hao wapo. Mafisadi hawanipunguzii kabisa utaifa wangu.
 
crap o malt
 
haya bana... siri unaye mwenyewe, wasalimie hongkong...

Ukiwa nanyumbu pia useme ati'
 
Hapa tukiangalia ukabila na udini nchi haitaendelea. Usiangalie waanzilishi wa vyama wanakotoka ndio ujaji udini na ukabila kama hivyo hata CCM upo ubaguzi kwa kuwaendekeza wagombea wenye asili ya Asia kuliko wazalendo kama majimbo ya Moro na Sindida.
Lakini kwa ushauri wangu mambo haya tusiangalie yamepitwa na wakati. Mimi nafikiri kosa sio la upinzani, kosa la CCM kukandamiza baadhi ya watu katika jamii kutokana na sera mbovu. Sasa jamii hiyo ikichoka inatafuta chama cha karibu nao ili kiwasaidie, kisha mnakimbilia kusema ukabila na udini.
 
Laiti wapinzani wangekuwa serious kipindi hiki wangechukua nchi kiulaini, ila vyama vyao vinakasoro za wazi kubwa, mfano, chadema, ukabila. CUF udini.

This was their time ila they need first to solve their internal open problems then ndo waje na mgombea potential. CCM wameprove big weakness this time since Kikwete got into power.

Bt i m so sad i don know who will save our nation. Anyway, we r coming home we will try.

Ukweli unauma. Chadema is not a serious party..... undugu, ukabila. Hii sumu itaimaliza.
 
Mama nalia naomba uelewe kitu kimoja, mafanikio yanayoonyshwa na upinzani ni makubwa katika historia ya Tanzania Bara, haijawahi kutokea. Ninajaribu kutafuta nukuu ya Mwalimu Nyerere sijaipata, pamoja na madhabifu yake mengine, bado alikuwa mtu anaeweka kuwa muwazi na mkweli nadhani hiyo ndiyo tofauti kubwa saaaana kati ya ke na hivi vimeo vinghine, viwe vya upinzani au vya watawala.
Ninachokiona wananchi wanahitaji kuamka zaidi, vyama vya upinzani vinahitaji kukusanya rasilimali nyingi zaidi, ili viweze kufikia majombo mengi hadi vijijini kipindi chote, sio kusubiri uchaguzi, na kuhakikisha wanaimarisha vyama vyao.
MFANO CHADEMA wanapaswa wasilale sasa, waendelee na mikakati hata baada ya uchaguzi, kuinua kipato cha chama, kuongeza wanachama maana wengi waliokipigia CHADEMA si wanachama ndio maajabu yake, na kuimarisha mipango na mikakati ya chama tayari kwa 2015

Angalau wewe unauelewa. Let me reveal this guys. Kwa nini watu wanahamia upinzani siku wanapokosa kura za maoni ccm?! unafikiri sasa hivi watu wanakwenda bungeni ku fight? la hasha wanakwenda kutafuta umaarufu wao tu na pesa tu, kama kweli mtu anapenda upinzani basi asisubiri abwagwe ccm ndo aende upinzani. Niliwahi kubishana na rafiki yangu tulikuwa nae ud nilikutana naye tarime kahamia chadema just bse hakuchaguliwa ccm. Nilimwambia ukweli na alibisha ila tht was d truth.
leo kina mbowe wameona urais wameshindwa mara mbili so waende kugombea ubunge, tazama mtu kama Lyatonga Mrema ambaye leo hii angekuwa amekaa tunamuomba ushauri lakini bado anatamaa ya pesa, na pesa za bure ziko bungeni kwa sababu hakuna challenging job there, wanasinzia tu with poor attendance.

Wala hamjani convince nyie wana JF washabiki.
 
Najua wewe unaumia kwa slaa kukosa urais, pole, bt nakushauri chochote unachokifanya kifanye kwa utaifa wa juu ili uweze angalau kusema nilichangia hiki katika nchi yangu, kuliko kukaa na kulalamika kila siku.

hatuna muuda wa kujadiliana na wapuuzi katika hoja za msingi.
 
Ukweli unauma. Chadema is not a serious party..... undugu, ukabila. Hii sumu itaimaliza.

imeshinda Mbeya mjini, mji wa Wasafwa, imeshinda meatu mji wa wasukuma, imeshinda moshi mji wa wachaga, imeshinda Arusha mji wa wambulu sijui, imeshinda kwa waha kigoma , unaongea kwa discipline ya kingunge Ngomale Mwilu, dalili ya mtu aliekaushwa fikra, mtu mwenye ulemavu wa ubongo, anaejenga hoja kwa mawazo tenge.
uko wapi ukabira hapo.
 
Laiti wapinzani wangekuwa serious kipindi hiki wangechukua nchi kiulaini, ila vyama vyao vinakasoro za wazi kubwa, mfano, chadema, ukabila. CUF udini.

This was their time ila they need first to solve their internal open problems then ndo waje na mgombea potential. CCM wameprove big weakness this time since Kikwete got into power.

Bt i m so sad i don know who will save our nation. Anyway, we r coming home we will try.
chadema haina ukabila, ila tatizo la demokrasia katika nchi changa kama yetu tatizo ni financing of party activities inakuwa taabu kwa watu binafsi, sasa linakuja suala la kabila ambalo kidogo lipo indepent na strong financially ni hilo na kuna watu hawa ogopi kuendelea nacho bila kuathiri biashara zao, sasa watu wengine mikoa mingine hamna mtu mwenye dhamira ya kufanya hivyo..
cuf tatizo lao chimboko lake na strong hold yao ni visiwani, na tatizo la huko wengi ni waislamu, sasa matokeo yake ndio wamekuja na hiyo taswira bara, ambayo wanaendelea kuibeba mpaka sasa.
kwa huku bara chadema wangekuwa pamoja na udp, ingekuwa vizuri, lakini udp naona kiongozi wao akaamua kuwa pamoja na ccm, na kuna vyama vingine vimekuwa vya biashara zaidi kuliko vya kisiasa
 
mhhhhhhhhh leo ndio ndio jf halali mtu rungu kwa rungu na nyundo kwa yundo
 
ccm ni waleta mizaha, genge la waleta mizaha hasa.
 
Mie najaribu kuwa fair, watu humu ni washabiki sana wa chama kimoja lakini hawaelezi ukweli. Sisemi ccm ni wazuri, hata kidogo simkubali JK. Lakini siwezi tu kukubali chadema au cuf eti sababu ccm ni wabaya, I thank God i m a bit educated i know how to follow events and read news. Always sitaficha whtever bad i c in our political parties.
Tuache ushabiki usiojenga, huu ndo umetufikisha kwenye hali hii mbaya. Wananchi wetu wako too illiterate hawatambui nani wakumpigia kura, ndo maana watu kama kina captain komba leo ni wabunge, nasikia hata kina sugu pia wanaenda bungeni. Tumegeuza bunge kuwa sehemu ya ufahari na pa kutafutia pesa na sio public serving place. We have even lost strong institutionalism in our country bse of this ushabiki.

Hebu mjaribu ku behave as civilized pple hapa JF ili tuwavutie wengi pia wajiunge na JF na sio waone ni jukwaa la washabiki wa chadema tu.

"If U Stand for the truth U will always stand alone" (lucky philip dube).

Hey old man..... u are back tena....... nafikiri akili yako imeshazeeka................ ingekuwa Ulaya tungekupeleka nyumba za wazee ukatunzwe. U are annoying.
 
Sijuin umetokea wapi saa izi...............mbona kikwete ni mdini kwa kulilia mahakama ya kadhi na oic lakini anapita kwa kishindo......
 
No research no right to talk....... Go do your homework kabla hujapost upumbavu kama huo tena.............. Go to hell
 
Sasa kama hujui chadema ndio kinajijenga kuwa chama cha kitaifa hasa. Angalia walivyotwaa majombo ya uchaguzi. Arusha-Arusha mjini, Iringa-Iringa mjini, Shinyanga- Maswa magharibi na mashariki, Meatu. Kilimanjaro- Moshi mjini, na wanasubiri-Meya Mbozi mashariki na magharibi, Mwanza -Nyamagana , ilemela, Ukelewe, Iringa-Njombe magharibi na mashariki, Rukwa-Rukwa mjini na Mpanda kati. Hivyo wimbo wenu wa ukabila umekwisha!!!!!!!!! kwa sasa hauna mshiko
 
Back
Top Bottom