Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu dada jana usiku alisema yuko Hong Kong huenda ni kwa hisani ya mafisadi
hey hey, mind your words!!straight to hell....you aren't well come home,,.....we don't need clowns like you!..g''''damn
Mie niko hongkong kwa shughuli zangu na si kwa njia ya mafisadi, na pili mie sio dada mie ni kaka. Na ninawachukia mafisadi kuliko hata wewe, wa kwanza akiwa ni lowasa na timu yake yote. Tanzania ndo naishi lazima nitambua sehemu yangu katika kuchangia pato la nchi yangu hata kama mafisadi hao wapo. Mafisadi hawanipunguzii kabisa utaifa wangu.
haya bana... siri unaye mwenyewe, wasalimie hongkong...Mie niko hongkong kwa shughuli zangu na si kwa njia ya mafisadi, na pili mie sio dada mie ni kaka. Na ninawachukia mafisadi kuliko hata wewe, wa kwanza akiwa ni lowasa na timu yake yote. Tanzania ndo naishi lazima nitambua sehemu yangu katika kuchangia pato la nchi yangu hata kama mafisadi hao wapo. Mafisadi hawanipunguzii kabisa utaifa wangu.
Laiti wapinzani wangekuwa serious kipindi hiki wangechukua nchi kiulaini, ila vyama vyao vinakasoro za wazi kubwa, mfano, chadema, ukabila. CUF udini.
This was their time ila they need first to solve their internal open problems then ndo waje na mgombea potential. CCM wameprove big weakness this time since Kikwete got into power.
Bt i m so sad i don know who will save our nation. Anyway, we r coming home we will try.
Mama nalia naomba uelewe kitu kimoja, mafanikio yanayoonyshwa na upinzani ni makubwa katika historia ya Tanzania Bara, haijawahi kutokea. Ninajaribu kutafuta nukuu ya Mwalimu Nyerere sijaipata, pamoja na madhabifu yake mengine, bado alikuwa mtu anaeweka kuwa muwazi na mkweli nadhani hiyo ndiyo tofauti kubwa saaaana kati ya ke na hivi vimeo vinghine, viwe vya upinzani au vya watawala.
Ninachokiona wananchi wanahitaji kuamka zaidi, vyama vya upinzani vinahitaji kukusanya rasilimali nyingi zaidi, ili viweze kufikia majombo mengi hadi vijijini kipindi chote, sio kusubiri uchaguzi, na kuhakikisha wanaimarisha vyama vyao.
MFANO CHADEMA wanapaswa wasilale sasa, waendelee na mikakati hata baada ya uchaguzi, kuinua kipato cha chama, kuongeza wanachama maana wengi waliokipigia CHADEMA si wanachama ndio maajabu yake, na kuimarisha mipango na mikakati ya chama tayari kwa 2015

Najua wewe unaumia kwa slaa kukosa urais, pole, bt nakushauri chochote unachokifanya kifanye kwa utaifa wa juu ili uweze angalau kusema nilichangia hiki katika nchi yangu, kuliko kukaa na kulalamika kila siku.
hey hey, mind your words!!
Ukweli unauma. Chadema is not a serious party..... undugu, ukabila. Hii sumu itaimaliza.
chadema haina ukabila, ila tatizo la demokrasia katika nchi changa kama yetu tatizo ni financing of party activities inakuwa taabu kwa watu binafsi, sasa linakuja suala la kabila ambalo kidogo lipo indepent na strong financially ni hilo na kuna watu hawa ogopi kuendelea nacho bila kuathiri biashara zao, sasa watu wengine mikoa mingine hamna mtu mwenye dhamira ya kufanya hivyo..Laiti wapinzani wangekuwa serious kipindi hiki wangechukua nchi kiulaini, ila vyama vyao vinakasoro za wazi kubwa, mfano, chadema, ukabila. CUF udini.
This was their time ila they need first to solve their internal open problems then ndo waje na mgombea potential. CCM wameprove big weakness this time since Kikwete got into power.
Bt i m so sad i don know who will save our nation. Anyway, we r coming home we will try.
Mie najaribu kuwa fair, watu humu ni washabiki sana wa chama kimoja lakini hawaelezi ukweli. Sisemi ccm ni wazuri, hata kidogo simkubali JK. Lakini siwezi tu kukubali chadema au cuf eti sababu ccm ni wabaya, I thank God i m a bit educated i know how to follow events and read news. Always sitaficha whtever bad i c in our political parties.
Tuache ushabiki usiojenga, huu ndo umetufikisha kwenye hali hii mbaya. Wananchi wetu wako too illiterate hawatambui nani wakumpigia kura, ndo maana watu kama kina captain komba leo ni wabunge, nasikia hata kina sugu pia wanaenda bungeni. Tumegeuza bunge kuwa sehemu ya ufahari na pa kutafutia pesa na sio public serving place. We have even lost strong institutionalism in our country bse of this ushabiki.
Hebu mjaribu ku behave as civilized pple hapa JF ili tuwavutie wengi pia wajiunge na JF na sio waone ni jukwaa la washabiki wa chadema tu.
"If U Stand for the truth U will always stand alone" (lucky philip dube).