Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Hivi nae dk dre huwa anaibaga beat?Hakuna producer duniani asiyesample, jamaa anatengeneza kazi nyingi sana so sio rahisi zisiingiliane kabisa, kumbuka akili ni ileile. WCB inapaswa wawe na producers walau wawili ili wawe wanashare ideas mpya
Hakuna producer duniani asiyesample, jamaa anatengeneza kazi nyingi sana so sio rahisi zisiingiliane kabisa, kumbuka akili ni ileile. WCB inapaswa wawe na producers walau wawili ili wawe wanashare ideas mpya
huwa anashare mawazo na eminem ndio maana biti zake hazifanani kamweHivi nae dk dre huwa anaibaga beat?
Eti visiting producer!!!?kazi yoyote ya kutengeneza kitu.. akili ikiwa moja inafanya kazi nyingi lazima zifanane tu.. angalia hata page za photographers.. retouching style ni zile zile zikifanywa na mtu mmoja.. ila zikifanywa na watu tofauti huwa hazifanani..
wasafi waongeze producer ama wawe wanakodisha producer anaenda na kuondoka.. mfano tudd thomas au emma the boy au t touch , pfunk, master jay wanapaswa wawe visiting producers wa WCB na walipwe kwa kazi tu watayoifanya kupunguza cost
Eti visiting producer!!!?
Eti hakuna producer asiye sample. Akina maaster jay, P funk waliyengeneza kazi nyingi kuliko huyu Laizer lakini walijitahidi sana kutofautisha radha ya beatsHakuna producer duniani asiyesample, jamaa anatengeneza kazi nyingi sana so sio rahisi zisiingiliane kabisa, kumbuka akili ni ileile. WCB inapaswa wawe na producers walau wawili ili wawe wanashare ideas mpya
Kwahiyo laizer huwa hashei mawazo na hao wasanii???huwa anashare mawazo na eminem ndio maana biti zake hazifanani kamwe
Mnanishangaza sana....
Hivi Nigerians unaweza tofautisha biti zao....
Kwaito Southafrica'Je!?
Hindi or Arabs...
Au lingala ya Zaire.!?
.... Ni nyinyi kila siku mnaesema Tanzania hatuna mziki wetu. Mtu anataka kuwa melody inayotambulisha production mnaaza kelele.
Hata P funk alikuwa na midundo yake...
Master J pia
Lamar pia...
Touch ukiiskia tu ngoma unajua ni yeye.
...
Jifunzeni mziki.
Eminem huwa ni prodyuza pia, sasa sijui kama hao wasanii wa WCB kama wana ufahamu na maswala ya productionKwahiyo laizer huwa hashei mawazo na hao wasanii???