Laizer badilika sasa unaishusha brand ya WCB

Laizer badilika sasa unaishusha brand ya WCB

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,052
Reaction score
4,104
Beat iliyotumika kwenye nyimbo ya lavalava kilio ndo beat beat iliyotumika kwenye nyimbo ya diamond sijaona na mpoto nimwage radhi ft harmoniz
Jamaa ni producer mzuri isipokuwa ndo hivyo anakariri mziki mwisho wa siku anaishia kusample beat ukicheki hapa video sema we mwenyewe kama beat zimefanana au hazifanana beat zote zimeunganishwa utagundua kabisa laizer katumia beat moja kwa wasanii
watatu

Hakuna producer duniani asiyesample, jamaa anatengeneza kazi nyingi sana so sio rahisi zisiingiliane kabisa, kumbuka akili ni ileile. WCB inapaswa wawe na producers walau wawili ili wawe wanashare ideas mpya
 
kazi yoyote ya kutengeneza kitu.. akili ikiwa moja inafanya kazi nyingi lazima zifanane tu.. angalia hata page za photographers.. retouching style ni zile zile zikifanywa na mtu mmoja.. ila zikifanywa na watu tofauti huwa hazifanani..

wasafi waongeze producer ama wawe wanakodisha producer anaenda na kuondoka.. mfano tudd thomas au emma the boy au t touch , pfunk, master jay wanapaswa wawe visiting producers wa WCB na walipwe kwa kazi tu watayoifanya kupunguza cost
 
Mnanishangaza sana....

Hivi Nigerians unaweza tofautisha biti zao....

Kwaito Southafrica'Je!?

Hindi or Arabs...

Au lingala ya Zaire.!?

.... Ni nyinyi kila siku mnaesema Tanzania hatuna mziki wetu. Mtu anataka kuwa melody inayotambulisha production mnaaza kelele.

Hata P funk alikuwa na midundo yake...

Master J pia

Lamar pia...

Touch ukiiskia tu ngoma unajua ni yeye.

...

Jifunzeni mziki.
 
Eti visiting producer!!!?
 
Mbona kabadilika siku nyingi sana
Sikiliza album yote ya diamond aka simba.
 
Eti visiting producer!!!?

hujui.. use google utaona yanayofanyika duniani....

kuna visiting doctor hata pale muhimbili wapo

kuna visiting proffessor

ni kitu kipo kabisa.. na kinafanyika sehemu nyingi.. visiting producers sio jambo la kushangaza
 
Hakuna producer duniani asiyesample, jamaa anatengeneza kazi nyingi sana so sio rahisi zisiingiliane kabisa, kumbuka akili ni ileile. WCB inapaswa wawe na producers walau wawili ili wawe wanashare ideas mpya
Eti hakuna producer asiye sample. Akina maaster jay, P funk waliyengeneza kazi nyingi kuliko huyu Laizer lakini walijitahidi sana kutofautisha radha ya beats
 
Mnanishangaza sana....

Hivi Nigerians unaweza tofautisha biti zao....

Kwaito Southafrica'Je!?

Hindi or Arabs...

Au lingala ya Zaire.!?

.... Ni nyinyi kila siku mnaesema Tanzania hatuna mziki wetu. Mtu anataka kuwa melody inayotambulisha production mnaaza kelele.

Hata P funk alikuwa na midundo yake...

Master J pia

Lamar pia...

Touch ukiiskia tu ngoma unajua ni yeye.

...

Jifunzeni mziki.

well said bro.. tell dem. hiyo ndo style yake Laizer ni sawa na DJ Mustard ana style yake ambayo haina tofauti kabisa katika nyimbo zake zote hata Tekno na selebobo karibia beats zao zote zinafanana sababu zile ni style zao na ni kama utambulisho wao. Hawajui producer's Identity hao
 
Waswahili bhana...huwa mnasikiliza muziki wa Nigeria?
 
Back
Top Bottom