Laizer badilika sasa unaishusha brand ya WCB

kwani kusample ni tatizo???

unaijua ile ngoma ya Marvin Gaye Sexual Healing??? unajua wasanii wangapi au producers wangapi wameitumia ktk kazi zao???

kama huelewi kuhusu maswala ya music bora utulie tu hao maproducers wakikuona watakucheka vibaya sana.
 
Sawia kabisa. Wasanii wakubwa huko mbele wanafanya sana sampling. Ila wanafanya kisheria kwa kulipia copyright!
 
Jamaa kashashiba pesa. Akili imeacha kufanya kazi.Ndo tatizo la mbongo
 
Mbona beat za wasanii wa uganda karibu zote zinafanana,Jaribu kufuatilia utagundua na hiyo haimaanishi kwamba producer wote wa UG idea zinafanana kama staili ya muimbaji ni ileile sasa unadhani producer atafanyaje
 
Ila pia ni propaganda za mawingu kuwaharibia wasafi kwa kueneza propaganda
 
Mtoa mada inaonekana hufaham vizur mambo ya production
 
Mtoa mada inaonekana hufaham vizur mambo ya production
Kwenye mziki kila producer anakuw na identify yake ukimsikiliza vinanda vya maneke au kiki kweny beat za mr t touch utatajua lakini beat hazifanani
tofauti na alichokifanya hapa laizer hii ni sample
 
Laizer sio Mtanzania ni kati ya Mburundi au Mrwanda
Ni Mtanzania halisi, ni kijana wetu, mimi nimeishi nae namfahamu fika. Kwenye harakati za muziki tulikuwa nae tumesota wote, sisi wakati tunafanya muziki na kabla ya yeye kuwa mwanamuziki nakumbuka alikuwa muuza magazeti, tuliwahi kuzinguana kipindi hicho wakati anauza magazeti. Jamaa kaanza kujifunza kutengeneza beats kutoka kwa jamaa fulani waliotoka Mwanza na kuja Kigoma kufungua studio iliyokuwa inaitwa Maxmum Records.
 
Unatetea ujinga,

Laizer amefanya too much sampling
 
Hata majinga majinga tu ya bongo yanajifanya kushauri.
Ngoja sasa tumone na Dr Dre hapa. Mbona beat zake zinafanana.
Tatizo vijana wengi wa TZ ni washamba fulani hawafanyi utafiti. Mtu kajua mziki juzi juzi tu anataka kuanza kutoa ushauri.

 
Vile vile vinana nawaomba mtembelee miziki ya londonbeat hebu sikiliza miziki yao. Kua kitu utagundua. Kuna kitu kinaitwa Identity.


 
Hamna ukweli hapa
Wapo maproducer wangapi bongo na majuu huko wanafanya kazi kibao kuliko huyo laizer na hawarudii
Huyu laizer kazid ,beat karbu nusu inafanana na nyimbo nyingne
Ubunifu hamna hapo ajipange
 
Hata majinga majinga tu ya bongo yanajifanya kushauri.
Ngoja sasa tumone na Dr Dre hapa. Mbona beat zake zinafanana.
Tatizo vijana wengi wa TZ ni washamba fulani hawafanyi utafiti. Mtu kajua mziki juzi juzi tu anataka kuanza kutoa ushauri.

Acha kumfananisha Dr Dre na uchafu.
 
Acha kumfananisha Dr Dre na uchafu.
Hebu toa upumbavu wako hapa. Tuache kumfananishe yeye ni Allah!, Mungu au nini. Ndio upumbavu wa watanzania wachache huu. Kutokujiamini na kupigia magoti wamarekani. Sisi tulishatoka huko kijana.
 
hujui.. use google utaona yanayofanyika duniani....

kuna visiting doctor hata pale muhimbili wapo

kuna visiting proffessor

ni kitu kipo kabisa.. na kinafanyika sehemu nyingi.. visiting producers sio jambo la kushangaza
Yes...kwa wanazuoni tuna hiyo visiting prof....ulichoongea kina mantiki..ni kama issue ya kuwa na mwandishi wa mashairi mwingine na muimbaji tofauti isivyozoeleka hapa tz..muda utaongea tutafika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…