Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
- Thread starter
- #21
Ukiona beat inautofauti kidogo na laizer ujue kafanya mtu mwingine yeye anamalizia mix tuMbona kabadilika siku nyingi sana
Sikiliza album yote ya diamond aka simba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona beat inautofauti kidogo na laizer ujue kafanya mtu mwingine yeye anamalizia mix tuMbona kabadilika siku nyingi sana
Sikiliza album yote ya diamond aka simba.
Sawia kabisa. Wasanii wakubwa huko mbele wanafanya sana sampling. Ila wanafanya kisheria kwa kulipia copyright!kwani kusample ni tatizo???
unaijua ile ngoma ya Marvin Gaye Sexual Healing??? unajua wasanii wangapi au producers wangapi wameitumia ktk kazi zao???
kama huelewi kuhusu maswala ya music bora utulie tu hao maproducers wakikuona watakucheka vibaya sana.
Laizer sio Mtanzania ni kati ya Mburundi au MrwandaJamaa kashashiba pesa. Akili imeacha kufanya kazi.Ndo tatizo la mbongo
Kwenye mziki kila producer anakuw na identify yake ukimsikiliza vinanda vya maneke au kiki kweny beat za mr t touch utatajua lakini beat hazifananiMtoa mada inaonekana hufaham vizur mambo ya production
Ni Mtanzania halisi, ni kijana wetu, mimi nimeishi nae namfahamu fika. Kwenye harakati za muziki tulikuwa nae tumesota wote, sisi wakati tunafanya muziki na kabla ya yeye kuwa mwanamuziki nakumbuka alikuwa muuza magazeti, tuliwahi kuzinguana kipindi hicho wakati anauza magazeti. Jamaa kaanza kujifunza kutengeneza beats kutoka kwa jamaa fulani waliotoka Mwanza na kuja Kigoma kufungua studio iliyokuwa inaitwa Maxmum Records.Laizer sio Mtanzania ni kati ya Mburundi au Mrwanda
Unatetea ujinga,Mnanishangaza sana....
Hivi Nigerians unaweza tofautisha biti zao....
Kwaito Southafrica'Je!?
Hindi or Arabs...
Au lingala ya Zaire.!?
.... Ni nyinyi kila siku mnaesema Tanzania hatuna mziki wetu. Mtu anataka kuwa melody inayotambulisha production mnaaza kelele.
Hata P funk alikuwa na midundo yake...
Master J pia
Lamar pia...
Touch ukiiskia tu ngoma unajua ni yeye.
...
Jifunzeni mziki.
Hamna ukweli hapakazi yoyote ya kutengeneza kitu.. akili ikiwa moja inafanya kazi nyingi lazima zifanane tu.. angalia hata page za photographers.. retouching style ni zile zile zikifanywa na mtu mmoja.. ila zikifanywa na watu tofauti huwa hazifanani..
wasafi waongeze producer ama wawe wanakodisha producer anaenda na kuondoka.. mfano tudd thomas au emma the boy au t touch , pfunk, master jay wanapaswa wawe visiting producers wa WCB na walipwe kwa kazi tu watayoifanya kupunguza cost
Acha kumfananisha Dr Dre na uchafu.Hata majinga majinga tu ya bongo yanajifanya kushauri.
Ngoja sasa tumone na Dr Dre hapa. Mbona beat zake zinafanana.
Tatizo vijana wengi wa TZ ni washamba fulani hawafanyi utafiti. Mtu kajua mziki juzi juzi tu anataka kuanza kutoa ushauri.
Hebu toa upumbavu wako hapa. Tuache kumfananishe yeye ni Allah!, Mungu au nini. Ndio upumbavu wa watanzania wachache huu. Kutokujiamini na kupigia magoti wamarekani. Sisi tulishatoka huko kijana.Acha kumfananisha Dr Dre na uchafu.
Yes...kwa wanazuoni tuna hiyo visiting prof....ulichoongea kina mantiki..ni kama issue ya kuwa na mwandishi wa mashairi mwingine na muimbaji tofauti isivyozoeleka hapa tz..muda utaongea tutafika.hujui.. use google utaona yanayofanyika duniani....
kuna visiting doctor hata pale muhimbili wapo
kuna visiting proffessor
ni kitu kipo kabisa.. na kinafanyika sehemu nyingi.. visiting producers sio jambo la kushangaza