Laizer ndio ataishusha WCB, Diamond usifanye nae nyimbo tena

Laizer ndio ataishusha WCB, Diamond usifanye nae nyimbo tena

Unatafuta kazi WCB au?? Au unataka kurecord wimbo na WCB?? Anzisha lebo yako uwasign kina tuddy. Afu wewe producer anakuhusu nini?? Kama huna cha kupost vunga next tyme...
Wewe ni rayvanny au harmonise mbona povu hivyo?
 
Diamond - Kidogo
Mzimbabwe - watora mari
Rayvanny - Kwetu
Harmonize - Bado
Rayvanny - Natafuta kiki
Dully Sykes - Inde
Rich Mavocal - Kokoro

Hapo ukisema kuna mfanano wa beat ni uongo uliopitiliza... Cha kumshauri hapo apunguze kurudia sampo kwenye beat zake(watu wa mziki mtanielewa). Otherwise he's doing a great job.
 
ni kweli laizer hana uwezo wa kuiendesha wcB Kama main producer!
bora hata Tudd
beat zake zote zinafanana...

kijuso ni wimbo mzuri Sana... lakini Rayvanny habadiliki .....kila siku anaimbia sauti moja!

Mimi shabiki wa WcB lakini hayo mapungufu nayaona....
laizer Hana beat mpya!!!!

inatakiwa beat za dance ziwe Kama ile diamond alimshirikisha iyanya... beat Ina ubunifu Fulani mfano; my number one,Nana
sio beat inakuja kabla hujataja wasafi ,imeshajulikana wasafi hio.
..
laizer sio mbunifu , bora hata Tudd Thomas!
au diamond afanye muziki popote anapohisi producer anafaa.
I appreciated your though
 
Huyu laizer uwezo wake ni mdogo mdogo sana, beat zake zinafanana, hivi laizer anaweza tengeneza beat kama ya pana au diana, kiukweli huyu producer amenichosha na anapoelekea ataua WCB.
Diamond kafanye ngoma na kina t touch, majani, nahreal , yule alietengeneza over boy, etc, au nenda hata nigeria huyo mshamba laizer mwache awatengenezee beat maandagroung kina queen darlin na rayvan na huyo mugacherere cjui q boy.

Pia rayvanny habadiliki staili yakeya kuimba ni moja, bora hata ya harmonize mara mia, cheki kwetu, natafuta kiki, kijusho, mugachere utasema ni nyimbo moja, kwenye salome ndo umejitahidi kubadilika.

Laizer uondoke WCB hatukutaki, au tutakupangia kazi ingine,
Wacha maneno, weka muziki
 
Wewe ni nani mpaka humtaki & umpangie kazi nyngne?[emoji18][emoji18]
 
Maproducer wa kibongo hawana lolote.....Bongo hakuna producer wa kweli. Majani si akili yake imeingua na bangi, atatengeneza nini yule?
Bongo Producers wapo tena wakali tu.

Mr.T Touch,Nahreal,Man Water,Tudy Thomas wanafanya beat nzuri mno...Sidhani kama Bongo Flava ina tatizo la audio production.
 
Diamond - Kidogo
Mzimbabwe - watora mari
Rayvanny - Kwetu
Harmonize - Bado
Rayvanny - Natafuta kiki
Dully Sykes - Inde
Rich Mavocal - Kokoro

Hapo ukisema kuna mfanano wa beat ni uongo uliopitiliza... Cha kumshauri hapo apunguze kurudia sampo kwenye beat zake(watu wa mziki mtanielewa). Otherwise he's doing a great job.

Acha uongo we, Kidogo hajatengeneza Laizer, Hata kokoro ameedit tu, Pia hiyo Bado katengeneza tudy tomas na dog mmoja hivi wa WCB mpiga tarumbeta
 
Iv watota mari, inde, waache waoane zina tofauti gani ?? Maana kuanzia tempo hadi vionjo vipo sawa! Anabadili vi melody kidogo tu. kama unabisha kazisikilize
 
Kaka umeongea point sana sema uwasilishwaji wake tu ndo umekaa kishari iv.....ukweli beat za uyu muha zinafanana sana afu domo cjui hajalingua hilo
Word beat zake zinafanana na matarumbeta hayakosi kila beat..
Atakuwa kama shirko na beat za berryblack
 
Acha uongo we, Kidogo hajatengeneza Laizer, Hata kokoro ameedit tu, Pia hiyo Bado katengeneza tudy tomas na dog mmoja hivi wa WCB mpiga tarumbeta
Asante kwa marekebisho japo kuwa umeyatoa kimizuka. Hakuna tatizo. Unaposikia mfanano wa beat huwa unaelewa nini?
 
Iv watota mari, inde, waache waoane zina tofauti gani ?? Maana kuanzia tempo hadi vionjo vipo sawa! Anabadili vi melody kidogo tu. kama unabisha kazisikilize
Labda tumetofatiana masikio au namna ya kusikia pia. Ninachopinga mimi ni hicho cha kusema beat zinajirudia. Kama unaamini hizo beat hazina utofauti jaribu kuimba vesi au chorus ya 'Inde' kwenye 'Watora mali' and prove if it works. Melody ikishabadilishwa hata kidogo tayari unapata beat nyingine. Producer anaweza akachukua let's say main melody ya 'Inde' halafu akaigeuza ipige mbele nyuma au juu chini na wewe msikilizaji usigundue. Tatizo lililopo kwa Laizer ni kurudia 'samples' karibia kila beat. Ila ukiniambia hizo beat tajwa hapo juu zinafanana nitachukulia kuwa umeamua kubishana tu na sio vinginevyo.
 
Back
Top Bottom