Laizer ndio ataishusha WCB, Diamond usifanye nae nyimbo tena

Unatafuta kazi WCB au?? Au unataka kurecord wimbo na WCB?? Anzisha lebo yako uwasign kina tuddy. Afu wewe producer anakuhusu nini?? Kama huna cha kupost vunga next tyme...
Wewe ni rayvanny au harmonise mbona povu hivyo?
 
Diamond - Kidogo
Mzimbabwe - watora mari
Rayvanny - Kwetu
Harmonize - Bado
Rayvanny - Natafuta kiki
Dully Sykes - Inde
Rich Mavocal - Kokoro


Hapo ukisema kuna mfanano wa beat ni uongo uliopitiliza... Cha kumshauri hapo apunguze kurudia sampo kwenye beat zake(watu wa mziki mtanielewa). Otherwise he's doing a great job.
 
I appreciated your though
 
Wacha maneno, weka muziki
 

Wewe ni nani mpaka humtaki & umpangie kazi nyngne?[emoji18][emoji18]
 
Maproducer wa kibongo hawana lolote.....Bongo hakuna producer wa kweli. Majani si akili yake imeingua na bangi, atatengeneza nini yule?
Bongo Producers wapo tena wakali tu.

Mr.T Touch,Nahreal,Man Water,Tudy Thomas wanafanya beat nzuri mno...Sidhani kama Bongo Flava ina tatizo la audio production.
 

Acha uongo we, Kidogo hajatengeneza Laizer, Hata kokoro ameedit tu, Pia hiyo Bado katengeneza tudy tomas na dog mmoja hivi wa WCB mpiga tarumbeta
 

Iv watota mari, inde, waache waoane zina tofauti gani ?? Maana kuanzia tempo hadi vionjo vipo sawa! Anabadili vi melody kidogo tu. kama unabisha kazisikilize
 
Kaka umeongea point sana sema uwasilishwaji wake tu ndo umekaa kishari iv.....ukweli beat za uyu muha zinafanana sana afu domo cjui hajalingua hilo
Word beat zake zinafanana na matarumbeta hayakosi kila beat..
Atakuwa kama shirko na beat za berryblack
 
Acha uongo we, Kidogo hajatengeneza Laizer, Hata kokoro ameedit tu, Pia hiyo Bado katengeneza tudy tomas na dog mmoja hivi wa WCB mpiga tarumbeta
Asante kwa marekebisho japo kuwa umeyatoa kimizuka. Hakuna tatizo. Unaposikia mfanano wa beat huwa unaelewa nini?
 
Iv watota mari, inde, waache waoane zina tofauti gani ?? Maana kuanzia tempo hadi vionjo vipo sawa! Anabadili vi melody kidogo tu. kama unabisha kazisikilize
Labda tumetofatiana masikio au namna ya kusikia pia. Ninachopinga mimi ni hicho cha kusema beat zinajirudia. Kama unaamini hizo beat hazina utofauti jaribu kuimba vesi au chorus ya 'Inde' kwenye 'Watora mali' and prove if it works. Melody ikishabadilishwa hata kidogo tayari unapata beat nyingine. Producer anaweza akachukua let's say main melody ya 'Inde' halafu akaigeuza ipige mbele nyuma au juu chini na wewe msikilizaji usigundue. Tatizo lililopo kwa Laizer ni kurudia 'samples' karibia kila beat. Ila ukiniambia hizo beat tajwa hapo juu zinafanana nitachukulia kuwa umeamua kubishana tu na sio vinginevyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…