Lake oil Makumbusho Mungu anawaona sio ishu kabisa

Nimeweka mafuta ya 50000 mshale hata hujapanda, maana nikieka unafika robo,nimemconfront attendant anaanza kusema gari langu bovu.
Huyo P.attendant hana huduma nzuri.

Mafuta atakuwa ameweka. Ila hii huwa inatokea hasa kama umetembelea gar ikiwa inatumia reserve. (Mafuta yalikuwa chini sana na ukatembelea kwa mwendo mrefu zaid).

Pia gage inaweza ikapanda baada ya kutembelea km 2-5 na kufikia hiyo level unayoijua (robo Tank).
 
Gari immediately ikipanda inapanda range na gauge hata moja haijapanda
 
Sio mara zote gage inapanda moja kwa moja kwa haraka.

Pia kama 50k ni robo tank ina maana gar yako ni kubwa (SUV flani hivi) Harrier au etal.

Sasa gar hizi ukitembelea ikiwa na alert ya mafuta kwa muda mrefu. Na ukaenda kuongeza. Gage haipand haraka au kama umekula reserve bas haipand kufika level inayotakiwa.

Pole sana labda hawajaweka mafuta ni hewa tu au wameweka kiduchu

Pump haziwezi pitisha hewa.

mm najua njia inayoibia wajaza mafuta ila sio ya hewa.
 
Sio mara zote gage inapanda moja kwa moja kwa haraka.

Pia kama 50k ni robo tank ina maana gar yako ni kubwa (SUV flani hivi) Harries au etal.

Sasa gar hizi ukitembelea ikiwa na alert ya mafuta kwa muda mrefu. Na ukaenda kuongeza. Gage haipand haraka au kama umekula reserve bas haipand kufika level inayotakiwa.

Pump haziwezi pitisha hewa.

mm najua njia inayoibia wajaza mafuta ila sio ya hewa.
Ngoja nione baadae
 
1791299444115.jpg
 
Back
Top Bottom