Selemani Sele
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 343
- 768
Huyo P.attendant hana huduma nzuri.Nimeweka mafuta ya 50000 mshale hata hujapanda, maana nikieka unafika robo,nimemconfront attendant anaanza kusema gari langu bovu.
Huyo P.attendant hana huduma nzuri.
Mafuta atakuwa ameweka. Ila hii huwa inatokea hasa kama umetembelea gar ikiwa inatumia reserve. (Mafuta yalikuwa chini sana na ukatembelea kwa mwendo mrefu zaid).
Pia gage inaweza ikapanda baada ya kutembelea km 2-5 na kufikia hiyo level unayoijua (robo Tank).
Gari immediately ikipanda inapanda range na gauge hata moja haijapandaHuyo P.attendant hana huduma nzuri.
Mafuta atakuwa ameweka. Ila hii huwa inatokea hasa kama umetembelea gar ikiwa inatumia reserve. (Mafuta yalikuwa chini sana na ukatembelea kwa mwendo mrefu zaid).
Pia gage inaweza ikapanda baada ya kutembelea km 2-5 na kufikia hiyo level unayoijua (robo Tank).
Sio mara zote gage inapanda moja kwa moja kwa haraka.Gari immediately ikipanda inapanda range na gauge hata moja haijapanda
Pole sana labda hawajaweka mafuta ni hewa tu au wameweka kiduchu
Ngoja nione baadaeSio mara zote gage inapanda moja kwa moja kwa haraka.
Pia kama 50k ni robo tank ina maana gar yako ni kubwa (SUV flani hivi) Harries au etal.
Sasa gar hizi ukitembelea ikiwa na alert ya mafuta kwa muda mrefu. Na ukaenda kuongeza. Gage haipand haraka au kama umekula reserve bas haipand kufika level inayotakiwa.
Pump haziwezi pitisha hewa.
mm najua njia inayoibia wajaza mafuta ila sio ya hewa.