Lake oil ni muda mwafaka kuanzisha Timu ya mpira wa miguu ili ilete ushindani kwenye Ligi kuu

Lake oil ni muda mwafaka kuanzisha Timu ya mpira wa miguu ili ilete ushindani kwenye Ligi kuu

KENGE 01

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
1,705
Reaction score
4,217
Imekua ni TABIA sio TZ tu hata huko duniani matajiri wengi hununua au kuwekeza kwenye Team za mpira na timu hizo sio haba huwa zinafanya vizuri sana. Matajiri haswa wa Mafuta hupendelea kuwekeza kwenye timu za mpira wa miguu

Mfano:
~PSG
~Newcastle utd
~Manchester City

Ni baadhi ya timu kubwa duniani zinazomilikiwa na wachimba mafuta(Waarabu) Na sio haba zinafanya vizuri sana kwenye ligi zao

Turudi huku bongo pia matajiri wengi wamewekeza kwenye mpira kama MO dewji, Azam, GSM na Silent Ocean ambao wanamiliki au wamewekeza kwenye Soka. Ushindani wa timu hasa mapacha wa K/Koo umekuwa common mpaka unakinai sasa.

Kuna kipindi Azam ilileta upinzani kwenye ligi na ikachukua ubingwa ila nae miaka ya hivi karibuni ni kama ametundika daruga!!

Kupitia Team utayoanzisha natumai italeta Upinzani kwenye ligi yetu na itaongeza ushindani ili tusiwakweze sana hawa ((Mapacha wa Kkoo))

Japo na wewe ni shabiki kindaki wa timu moja wapo kwenye hao mapacha wa Kkoo..ikishindikanaa[emoji117] (ONGEA NA MSHUA--IZZO BIZNEZ)

Wako mtiifu KENGE mmoja

Nawasilisha
 
Kupitia Team utayoanzisha natumai italeta Upinzani kwenye ligi yetu na itaongeza ushindani ili tusiwakweze sana hawa ((Mapacha wa kkoo))
 
Unataka huyo Riz 1 aanzishe timu yake ya mpira wa miguu alafu hiyo Yanga amuachie nani 😅

Ila kibongo Bongo kuanzisha timu na ikapata fan base kubwa ni kazi mno, angalia Azam anavyohangaika pamoja na uwekezaji wote ule anaoufanya lakini bado.

Unakuta mtu yupo Azam lakini anashabikia moja wapo ya Simba au Yanga🙌
 
Barua ya wazi kwa kingereza mnaitaje?

Ok,Ridhiwan kikwete najua pesa ni zako na wala hatukupangii matumizi lakini tusikilize kwa sikio la tatu sisi wapenzi wa soka.

Imekua ni TABIA sio TZ tu hata uko duniani matajiri wengi ununua au kuwekeza kwenye Team za mpira na timu izo sio haba uwa zinafanya vizuri sana..Matajiri haswa wa Mafuta hupendelea kuwekeza kwenye timu za mpira wa miguu

Mfano:
~PSG
~Newcastle utd
~Manchester City

Ni baadhi ya timu kubwa duniani zinazomilikiwa na wachimba mafuta(Waarabu) Na sio haba zinafanya vizuri sana kwenye ligi zao

Turudi huku bongo pia matajiri wengi wamewekeza kwenye mpira kama MO dewji,Azam,GSM na Silent Ocean ambao wanamiliki au wamewekeza kwenye Soka.Ushindani wa timu hasa mapacha wa k/koo umekuwa common mpaka unakinai sasa..

Kuna kipindi Azam ilileta upinzani kwenye ligi na ikachukua ubingwa ila nae miaka ya hivi karibuni ni kama ametundika daruga!!

Kupitia Team utayoanzisha natumai italeta Upinzani kwenye ligi yetu na itaongeza ushindani ili tusiwakweze sana hawa ((Mapacha wa kkoo))

Japo na wewe ni shabiki kindaki wa timu moja wapo kwenye hao mapacha wa kkoo..ikishindikanaa[emoji117] (ONGEA NA MSHUA--IZZO BIZNEZ)

Wako mtiifu KENGE mmoja
Nawasilisha
tuache uongo lake sio ya ridhwani nyie vipi,mnawashwa nini?
 
Unataka huyo Riz 1 aanzishe timu yake ya mpira wa miguu alafu hiyo Yanga amuachie nani [emoji28]

Ila kibongo Bongo kuanzisha timu na ikapata fan base kubwa ni kazi mno, angalia Azam anavyohangaika pamoja na uwekezaji wote ule anaoufanya lakini bado.

Unakuta mtu yupo Azam lakini anashabikia moja wapo ya Simba au Yanga[emoji119]
Ndomaana ligi inabidi iwe na ushindani itokee timu ichape Uto na kolo goli 7 kama bayern ibebe na Ubingwa hata mara 3 mfululizo itapata fanbase tu kwani wanaoshabikia Man city si watoto wadogo tu
 
Hii nchi bhana...

Mtu una hustle zako, unatusua unakuwa na property kadhaa, zinaanza kubandikwa majina ya wanasiasa...
Hivi mnadhan biashara ni kitu rahisi sana kwa wanasiasa?

Unamjua Awadi Ally?
Kaa hvyohvyo sasa
 
Back
Top Bottom