Lake oil ni muda mwafaka kuanzisha Timu ya mpira wa miguu ili ilete ushindani kwenye Ligi kuu

Barua ya wazi kwa kingereza mnaitaje?

Ok,Ridhiwan kikwete najua pesa ni zako na wala hatukupangii matumizi lakini tusikilize kwa sikio la tatu sisi wapenzi wa soka.

Imekua ni TABIA sio TZ tu hata uko duniani matajiri wengi ununua au kuwekeza kwenye Team za mpira na timu izo sio haba uwa zinafanya vizuri sana..Matajiri haswa wa Mafuta hupendelea kuwekeza kwenye timu za mpira wa miguu

Mfano:
~PSG
~Newcastle utd
~Manchester City

Ni baadhi ya timu kubwa duniani zinazomilikiwa na wachimba mafuta(Waarabu) Na sio haba zinafanya vizuri sana kwenye ligi zao

Turudi huku bongo pia matajiri wengi wamewekeza kwenye mpira kama MO dewji,Azam,GSM na Silent Ocean ambao wanamiliki au wamewekeza kwenye Soka.Ushindani wa timu hasa mapacha wa k/koo umekuwa common mpaka unakinai sasa..

Kuna kipindi Azam ilileta upinzani kwenye ligi na ikachukua ubingwa ila nae miaka ya hivi karibuni ni kama ametundika daruga!!

Kupitia Team utayoanzisha natumai italeta Upinzani kwenye ligi yetu na itaongeza ushindani ili tusiwakweze sana hawa ((Mapacha wa kkoo))

Japo na wewe ni shabiki kindaki wa timu moja wapo kwenye hao mapacha wa kkoo..ikishindikanaa[emoji117] (ONGEA NA MSHUA--IZZO BIZNEZ)

Wako mtiifu KENGE mmoja
Nawasilisha
Kwanza lake oil sio ya ridhiwani pili usilinganishe mlima(mchimba mafuta) na kichuguu (mmiliki wa vituo vya mafuta.
 
Ndomaana ligi inabidi iwe na ushindani itokee timu ichape Uto na kolo goli 7 kama bayern ibebe na Ubingwa hata mara 3 mfululizo itapata fanbase tu kwani wanaoshabikia Man city si watoto wadogo tu
Ni sahihi Mkuu, ila safari ya kufikia huko siyo ndogo.

Imagine unashindana na timu iliyoanzishwa mwaka 1935 au 1936
 
Hii kampuni imechukua eneo la tazara mchicha wamebana hadi reli, wengine wamevunja maghorofa ya tazara wamejenga yard
 
Hizi timu kubwa mbili nchini zimedumu miaka mingi sababu ya ushirikina
 
Unataka huyo Riz 1 aanzishe timu yake ya mpira wa miguu alafu hiyo Yanga amuachie nani [emoji28]

Ila kibongo Bongo kuanzisha timu na ikapata fan base kubwa ni kazi mno, angalia Azam anavyohangaika pamoja na uwekezaji wote ule anaoufanya lakini bado.

Unakuta mtu yupo Azam lakini anashabikia moja wapo ya Simba au Yanga[emoji119]
Azam ingekua na mashabiki wengi sana kama wangekua serious,
sasa wao sijui wanafanya vitu gani, kimataifa ni hola, nyumbani ni hola,..... tuwashabikie ili iweje?

yani ligi ya nyumbani wanasema waamuzi na tff ndio tatizo, ehe na huko kimataifa tatizo ni nini?...... pale hakuna timu
 
Kwanza lake oil sio ya ridhiwani pili usilinganishe mlima(mchimba mafuta) na kichuguu (mmiliki wa vituo vya mafuta.
Kwanza uzi unaenda kwa yoyote anaemiliki lake oil

Pili:Umeona mfano wa wachimba mafuta tu? JE Mudi,GSM na Azam ni wachimba mafuta?
 
Azam ingekua na mashabiki wengi sana kama wangekua serious,
sasa wao sijui wanafanya vitu gani, kimataifa ni hola, nyumbani ni hola,..... tuwashabikie ili iweje?

yani ligi ya nyumbani wanasema waamuzi na tff ndio tatizo, ehe na huko kimataifa tatizo ni nini?...... pale hakuna timu
Mbeya City ilianza vizuri ila kilichotokea ikaanza kupambana isishuke daraja
 
Azam ingekua na mashabiki wengi sana kama wangekua serious,
sasa wao sijui wanafanya vitu gani, kimataifa ni hola, nyumbani ni hola,..... tuwashabikie ili iweje?

yani ligi ya nyumbani wanasema waamuzi na tff ndio tatizo, ehe na huko kimataifa tatizo ni nini?...... pale hakuna timu
Hakuna timu inayobadili makocha kama hii
 
Hii nchi bhana...

Mtu una hustle zako, unatusua unakuwa na property kadhaa, zinaanza kubandikwa majina ya wanasiasa...
Hivi mnadhan biashara ni kitu rahisi sana kwa wanasiasa?

Unamjua Awadi Ally?
Anaitwa Ally Edha Awadh
 
Barua ya wazi kwa kingereza mnaitaje?

Ok,Ridhiwan kikwete najua pesa ni zako na wala hatukupangii matumizi lakini tusikilize kwa sikio la tatu sisi wapenzi wa soka.

Imekua ni TABIA sio TZ tu hata uko duniani matajiri wengi ununua au kuwekeza kwenye Team za mpira na timu izo sio haba uwa zinafanya vizuri sana..Matajiri haswa wa Mafuta hupendelea kuwekeza kwenye timu za mpira wa miguu

Mfano:
~PSG
~Newcastle utd
~Manchester City

Ni baadhi ya timu kubwa duniani zinazomilikiwa na wachimba mafuta(Waarabu) Na sio haba zinafanya vizuri sana kwenye ligi zao

Turudi huku bongo pia matajiri wengi wamewekeza kwenye mpira kama MO dewji,Azam,GSM na Silent Ocean ambao wanamiliki au wamewekeza kwenye Soka.Ushindani wa timu hasa mapacha wa k/koo umekuwa common mpaka unakinai sasa..

Kuna kipindi Azam ilileta upinzani kwenye ligi na ikachukua ubingwa ila nae miaka ya hivi karibuni ni kama ametundika daruga!!

Kupitia Team utayoanzisha natumai italeta Upinzani kwenye ligi yetu na itaongeza ushindani ili tusiwakweze sana hawa ((Mapacha wa kkoo))

Japo na wewe ni shabiki kindaki wa timu moja wapo kwenye hao mapacha wa kkoo..ikishindikanaa[emoji117] (ONGEA NA MSHUA--IZZO BIZNEZ)

Wako mtiifu KENGE mmoja
Nawasilisha
Mkuu unataka aingize timu isumbue timu ya Baba ake kweli ungekuwa wewe ungefanya hivyo???
 
Back
Top Bottom