ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
Kwa maana nyingine hiyo ni biashara haramu ya kuuza ngozi za binaadamu,je mamlaka zinazo husika na human trafficking zipo wapi ama biashara ya madanguro inalipishwa kodi hivi sasa?Walevi Oyee, Wakeshaji Safi, CCM , CHADEMA, ACT CHAUMA OYEEE, Huku kwenye mabaa hamna mambo ya uchama.
Sasa walevi , wale wa kukesha kwenye bar, Pub nilitembea mikoa ya kanda ya ziwa huko Kagera, mwanza, mara, kigoma, katavi , rukwa nilishangaa utaratibu wa bar za huko, Sasa sijui upande wa kanda tajiri yani mashariki na kaskazini Kuna utaratibu huu, Ukienda bar kunywa kwanza utakuta wahudumu wakutosha na wanaingia Kwa shift, Sasa wao wanakunywaga bia za bei Kali Kali tu B...tal, sa.....na, etc wao hizi bei chee hawataki japo hawanunui wao,
Sasa chakushangaza hawa ni watu gani utaratibu wao wa kazi unaruhusu mfanyakazi kutoka kazini muda wowote Kwa malipo ya 10,000 Kwa mwenye bar. Yani nimeshangaa , unalipa 10,000 Kwa meneja wa kaunta halaf mtu anaondoka kazini. Siongei san5a, hivyo baa nyingi zinafanya hii kitu katika mikoa hiyo , ni kama biashara ya binadamu
Kuliko kudai katiba mpya sio?Wabongo wapo serious Sana na ngono
Hizo sio bar ni Modified DanguroSasa chakushangaza hawa ni watu gani utaratibu wao wa kazi unaruhusu mfanyakazi kutoka kazini muda wowote Kwa malipo ya 10,000 Kwa mwenye bar. Yani nimeshangaa , unalipa 10,000 Kwa meneja wa kaunta halaf mtu anaondoka kazini. Siongei sana, hivyo baa nyingi zinafanya hii kitu katika mikoa hiyo , ni kama biashara ya binadamu
Wako race sanaWabongo wapo serious Sana na ngono
Eti wafanyakazi wanalipiwa 10000 anatoka muda wowote Kwa kisingizio hiyo 10,000 ya kutafuta mbadala wakeHizo sio bar ni Modified Danguro
Ulitaka kusepa nae Bure?Eti wafanyakazi wanalipiwa 10000 anatoka muda wowote Kwa kisingizio hiyo 10,000 ya kutafuta mbadala wake
Basi simbayaEti wafanyakazi wanalipiwa 10000 anatoka muda wowote Kwa kisingizio hiyo 10,000 ya kutafuta mbadala wake
https://www.facebook.com/Wabongo wapo serious Sana na ngono
Kweli kabisa, miaka Ile wakati najihudumia ilikuwa 3,000!Mbona ni kama kautaratibu ka kote halafu kameanza miaka ya kitambo tuu, au ndo unajifunza kuhudhuria bar nn dogo?
Hizo zote ni ARV bossWalevi Oyee, Wakeshaji Safi, CCM , CHADEMA, ACT CHAUMA OYEEE, Huku kwenye mabaa hamna mambo ya uchama.
Sasa walevi , wale wa kukesha kwenye bar, Pub nilitembea mikoa ya kanda ya ziwa huko Kagera, mwanza, mara, kigoma, katavi , rukwa nilishangaa utaratibu wa bar za huko, Sasa sijui upande wa kanda tajiri yani mashariki na kaskazini Kuna utaratibu huu, Ukienda bar kunywa kwanza utakuta wahudumu wakutosha na wanaingia Kwa shift, Sasa wao wanakunywaga bia za bei Kali Kali tu B...tal, sa.....na, etc wao hizi bei chee hawataki japo hawanunui wao,
Sasa chakushangaza hawa ni watu gani utaratibu wao wa kazi unaruhusu mfanyakazi kutoka kazini muda wowote Kwa malipo ya 10,000 Kwa mwenye bar. Yani nimeshangaa , unalipa 10,000 Kwa meneja wa kaunta halaf mtu anaondoka kazini. Siongei sana, hivyo baa nyingi zinafanya hii kitu katika mikoa hiyo , ni kama biashara ya binadamu