Lake zone Huu utaribu mmeiga wapi, pub, Bar Eti unalipia 10,000 unamtoa mhudumu

hawa ni watu gani utaratibu wao wa kazi unaruhusu mfanyakazi kutoka kazini muda wowote Kwa malipo ya 10,000 Kwa mwenye bar. Yani nimeshangaa , unalipa 10,000 Kwa meneja wa kaunta halaf mtu anaondoka kazini.
Aiseee,
Ulitaka ukamchakate bila kumnunua kwa mmiliki wake?
 
Na sio kwamba unamchukua mazima, hapo ukifikia mshindo tuu anarudi kaunta na anachukua chake. Badae malaya huyo huyo atarudi hapo hapo kaunta kuchukua vinywaji kwa hela yako. 😊

Kama ni Night kali, huna kondomu, wanauza hapo hapo kaunta elfu tano. Utajua wewe upige kavu au utoe mkono kuchukua zana.

Umenikumbusha kiwanja kimoja Kahama, kinaitwa Bijampora.
Ujana ni ugonjwa aisee!
 
Mara ya mwisho nililipa 5000 ilikua mbeya ili niondoke nae , kipindi icho sijaujua wokovu! Ulevi unaoambatana na uzinzi ni gereza heavy sana.
 
Duhh sijaona vyoteπŸ™†πŸ½β€β™€οΈ
 
Umeingia mjini lini? Huu mtindo umeanzia Dar na uko tangu miaka ya 2000?
 
Mbona ni ya zamani sana hiyo. Ilikuwepo kuanzia Sanawari, daraja mbili hadi Mbeya Pazuri.

Miaka hiyo tulikuwa tunalipa Elfu 3 pale Counter tu.
Nimemjulisha huyu. Pengine ni mtoto mdogo na ndiyo anajifunza starehe. Miaka 1998 na kuendelea Dar ndiyo ilikuwa fashion.
 
10000 ndio ina tumika kama Mshahara mwisho wa mwezi, ziki kusanywa kwa wote
 
Hao wana UTI Kali pamoja na gonorrhea, usisahau kuvaa condom kwa usalama zaidi
 
Una maanisha ukimtaka muhudumu, unalipia elfu kumi kwa manager ili akuruhusu uondoke nae...


Cc: Mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…