Laki 2 kwa Wiki Freelancing Skill (No Experience Needed with Prove)

Joined
Oct 19, 2020
Posts
75
Reaction score
238
Kama hujasoma my previous thread about how to start a freelancing business popote pale ulipo bila experience wala mtaji wowote, basi pitia sasa maana nimeelezea everything concerning this business.

Kwa kifupi, Freelancing ni aina ya biashara ambayo mtu yeyote yule anaweza kuuza service yake kwa makampuni, watu binafsi au wafanyabiashara duniani kote. Unaweza kuuza au kuajiliwa kwa short au long term according to your contract na client wako. Freelancers hupata kazi hizi from Freelancing Platforms ambazo huuwangisha Freelancers (seller) na clients (buyers). Pia as a freelancer huitaji kulipia kujiunga na platform hizi wala kuwa na boss au middle man ambaye anakuajili apendavyo yeye maana in freelancing, freelancer ndiye anayepanga bei ya skill yake au service anayo-offer.

Turudi kwenye title ya thread, Laki tano kwa wiki freelancing skill bila kuwa na experience yoyote. Kabla ya ku-question, naomba kuweka sawa kitu hapo. Kuna skills nyingi katika Freelancing business, lakini pia most freelancing platforms hutumia dollar ya marekani (USD) as an exchange currency hivo laki mbili ya kitanzania ni sawa na 85 USD (Leo hii ninavyo andika hii thread).

SKILL GANI UNAYOHITAJI KU-MAKE HII PESA?

Easy Social Media Posts and Graphics Designs
- Yeah, kama ulivyoisoma ndio hivyo ilivyo. Katika ukuaji wa social media marketing na online presence, makampuni mengi hasa nchi kama USA, UK na canada hutumia pesa nyingi sana kuhakiksha social media accounts zao zina-attract customers na kuonekana appealing, hivyo hutumia pesa nyingi kuajili freelancers kudesign posts zao maana most of them cannot do it na sometimes hawana mda wa kukaa na kuanza kudesign posts hususani ni huwa wana budget kwa ajili ya social media accounts zao.

HOW CAN YOU DO IT?

Nimesema selling EASY social media posts and Graphic designs, maana my title inajieleza kwamba huhitaji experience. So, how can you make money without this skill? As a freelancer utatumia FREE online website inayoitwa CANVA (Siwez kuweka link hapa, kuepuka kuwa brocked) kuedit hizi posts and graphics ---- Yeah, najua baadhi wakiona neno FREE, Huhisi hakuna kitu hapo. Website hii ni online clouded hivyo huhitaji kuidownload kama Adobe, ama any other editors.

CANVA ni Free professional online editing platform, ndani ya canva kuna ready-made templates ambazo unaweza kuziedit kiurahisi maana kila design ipo tayari ni wewe tu kuchange texts, colors, background ama anything you wish to do, Pia kuna kila aina za template utakazohitaji kuedit ama kuimport picha au video yako. Kuna more tha 60 million templates na professional free stock images na elements unazotumia bure without paying a $. (kuna paid plan, lakini si muhimu kwa namna yoyote)

WHERE DO YOU SELL THIS SERVICE?

Kutumia CANVA ni step ya kwanza, Vipi kuuza hizi template designs? Kuna freelancing platforms nyingi sana za kuuza hii service lakini for specific purpose na easy to start, nitaelezea Platform inayoitwa FIVERR - Kama huijui Fiverr, basi ni one of the best and safe freelancing platform ambayo huitaji pesa yoyote kujiunga wala kuweka kazi yako.

Kutokana na kuamika sana kwa FIVERR, hivyo makampuni makubwa mengi duniani na watu binafsi huajiri freelancers kuwafanyia kazi zao, Hivyo as a Freelancers huna budi kutumia hii opportunity kupost kazi yako ambayo utakapopata client utatumia canva kuedit hizi designs.

Atleast 50% ya freelancers duniani hutumia CANVA kuedit hizi template designs maana Adobe Photoshop or other popular editors ni ngumu to start na pia mostly paid, Hii service ni LEGAL, hakuna uhuni wowote ule.

UNAJIUNGA VIPI FIVERR, NA KU-WITHDRAW PESA YAKO KWENDA YOUR COUNTRY BANK ACCOUNT?

Siwez elezea kila kitu hapa, maana most of this ni practical. So, I will be uploading videos showing from:

  • Jinsi kujiunga Fiverr, which is free and fast
  • Jinsi ya ku-upload kazi yako ya kwanza
  • Jinsi ya Kupata your first order and more
  • Jinsi ya kuwithdraw pesa yako, hasa kama hauna Paypal
  • Jinsi ya kupata pesa yako to your bank account
 
Mungu akubariki, huwa siachi fursa aiseeee! Nimesoma Jana LinkedIn kuna Mnajieria anaringa anasema amepata his first pay as a Freelancer lakini pia namjua Mshkaji wangu anaishi huko Nchini Dar es Salaam yeye kutwa nzima anajifungia ndani yuko online tu kutafuta hizo freelancing.

Nitakufuatilia nijifunze zaidi, Elimu haina mwisho! Nikipata ile post ya yule mnaijeria nitaweka hapa.
Barikiwa sana
 
Mbongo ukimwambia laki 5 kwa siku umeshamtoa udenda apo ndo matapeli wanatumia udhaifu uo kupenya/kutapeli)simaanishi mtoa post ni tapeli) lakini Freelencer tena FIVERR mpka uje upate kazi(gigs) sio kazi rahisi kama mtoa mada anavyosema nafkr atakua mgeni apa Jeiefu kuna mwamba zaman alikua anaeleza A-Z mambo za freelencer apa JF lakini kwasasa imezidi kuwa na mashart magumu sana FIVERR imagine ili acc yako to iwe verified kwenye usajili kuna mpaka video call [emoji34] sina nia mbaya ya kumkosoa mtoa mada lakini nasemaje uailete upande wa faida tu leta na changamoto umesema "bila skills zozote" aisee uwezi kuwa freelencer kama unaskills ata iyo ya Social media angalia english zetu wabongo kwel kampuni ya US inaweza kumpa mtu kazi kama English yake imepinda?? Aisee mkuu leta na changamoto zake otherwise utatuletea video za channel yako ya youtube ili tukuongezee viewers tu bila msaada wowote

NATANGULIZA SAMAHANI)
 
NATANGULI nail on this comment
 
Usipende ligi kwenye fursa, kama kuna changamoto ziweke hapa kwa faida ya wote! Yeye ameeleza upande wake na wewe eleza upande wako. Ndio raha ya fursa Ndugu.

Shukrani kwa kunielewa, tunasubiri nondo zako tuyajenge pamoja. Mungu akubariki
 
Mbongo ukimwambia laki 5 kwa siku umeshamtoa udenda apo ndo matapeli wanatumia udhaifu uo kupenya/kutapeli)simaanishi mtoa post ni tapeli) lakini Freelencer tena FIVERR mpka uje upate kazi(gigs) sio kazi rahisi kama mtoa mada anavyosema nafkr atakua mgeni apa Jeiefu kuna mwamba zaman alikua anaeleza A-Z mambo za freelencer apa JF lakini kwasasa imezidi kuwa na mashart magumu sana FIVERR imagine ili acc yako to iwe verified kwenye usajili kuna mpaka video call [emoji34] sina nia mbaya ya kumkosoa mtoa mada lakini nasemaje uailete upande wa faida tu leta na changamoto umesema "bila skills zozote" aisee uwezi kuwa freelencer kama unaskills ata iyo ya Social media angalia english zetu wabongo kwel kampuni ya US inaweza kumpa mtu kazi kama English yake imepinda?? Aisee mkuu leta na changamoto zake otherwise utatuletea video za channel yako ya youtube ili tukuongezee viewers tu bila msaada wowote

NATANGULIZA SAMAHANI)
Bro nipo Fiverr, Level one seller siwezi post vitu nisivyovielewa. you either take it, or leave it. kama unahisi haiwezekani basi umeshajaribu ukashindwa? na kama ulijaribu ukashindwa ulifuata, muongozo gani? nijibu hayo then tutaendelea from there. na sijaelewa utaperi wangu hapo ni nini, maana disclaimer inajielezea vizuri kabsa. kama ni viewers bas usiangalie video.. just read my threads tu inatosha.
 
Mungu akubariki, huwa siachi fursa aiseeee! Nimesoma Jana LinkedIn kuna Mnajieria anaringa anasema amepata his first pay as a Freelancer lakini pia namjua Mshkaji wangu anaishi huko Nchini Dar es Salaam yeye kutwa nzima anajifungia ndani yuko online tu kutafuta hizo freelancing.

Nitakufuatilia nijifunze zaidi, Elimu haina mwisho! Nikipata ile post ya yule mnaijeria nitaweka hapa.
Barikiwa sana
Tuko pamoja, sitokuangusha kaka.
 
Kama hujasoma my previous thread about how to start a freelancing business popote pale ulipo bila experience wala mtaji wowote, basi pitia sasa maana nimeelezea everything concerning this business.

Kwa kifupi, Freelancing ni aina ya biashara ambayo mtu yeyote yule anaweza kuuza service yake kwa makampuni, watu binafsi au wafanyabiashara duniani kote. Unaweza kuuza au kuajiliwa kwa short au long term according to your contract na client wako. Freelancers hupata kazi hizi from Freelancing Platforms ambazo huuwangisha Freelancers (seller) na clients (buyers). Pia as a freelancer huitaji kulipia kujiunga na platform hizi wala kuwa na boss au middle man ambaye anakuajili apendavyo yeye maana in freelancing, freelancer ndiye anayepanga bei ya skill yake au service anayo-offer.

Turudi kwenye title ya thread, Laki tano kwa wiki freelancing skill bila kuwa na experience yoyote. Kabla ya ku-question, naomba kuweka sawa kitu hapo. Kuna skills nyingi katika Freelancing business, lakini pia most freelancing platforms hutumia dollar ya marekani (USD) as an exchange currency hivo laki mbili ya kitanzania ni sawa na 85 USD (Leo hii ninavyo andika hii thread).

SKILL GANI UNAYOHITAJI KU-MAKE HII PESA?

Easy Social Media Posts and Graphics Designs
- Yeah, kama ulivyoisoma ndio hivyo ilivyo. Katika ukuaji wa social media marketing na online presence, makampuni mengi hasa nchi kama USA, UK na canada hutumia pesa nyingi sana kuhakiksha social media accounts zao zina-attract customers na kuonekana appealing, hivyo hutumia pesa nyingi kuajili freelancers kudesign posts zao maana most of them cannot do it na sometimes hawana mda wa kukaa na kuanza kudesign posts hususani ni huwa wana budget kwa ajili ya social media accounts zao.

HOW CAN YOU DO IT?

Nimesema selling EASY social media posts and Graphic designs, maana my title inajieleza kwamba huhitaji experience. So, how can you make money without this skill? As a freelancer utatumia FREE online website inayoitwa CANVA (Siwez kuweka link hapa, kuepuka kuwa brocked) kuedit hizi posts and graphics ---- Yeah, najua baadhi wakiona neno FREE, Huhisi hakuna kitu hapo. Website hii ni online clouded hivyo huhitaji kuidownload kama Adobe, ama any other editors.

CANVA ni Free professional online editing platform, ndani ya canva kuna ready-made templates ambazo unaweza kuziedit kiurahisi maana kila design ipo tayari ni wewe tu kuchange texts, colors, background ama anything you wish to do, Pia kuna kila aina za template utakazohitaji kuedit ama kuimport picha au video yako. Kuna more tha 60 million templates na professional free stock images na elements unazotumia bure without paying a $. (kuna paid plan, lakini si muhimu kwa namna yoyote)

WHERE DO YOU SELL THIS SERVICE?

Kutumia CANVA ni step ya kwanza, Vipi kuuza hizi template designs? Kuna freelancing platforms nyingi sana za kuuza hii service lakini for specific purpose na easy to start, nitaelezea Platform inayoitwa FIVERR - Kama huijui Fiverr, basi ni one of the best and safe freelancing platform ambayo huitaji pesa yoyote kujiunga wala kuweka kazi yako.

Kutokana na kuamika sana kwa FIVERR, hivyo makampuni makubwa mengi duniani na watu binafsi huajiri freelancers kuwafanyia kazi zao, Hivyo as a Freelancers huna budi kutumia hii opportunity kupost kazi yako ambayo utakapopata client utatumia canva kuedit hizi designs.

Atleast 50% ya freelancers duniani hutumia CANVA kuedit hizi template designs maana Adobe Photoshop or other popular editors ni ngumu to start na pia mostly paid, Hii service ni LEGAL, hakuna uhuni wowote ule.

UNAJIUNGA VIPI FIVERR, NA KU-WITHDRAW PESA YAKO KWENDA YOUR COUNTRY BANK ACCOUNT?

Siwez elezea kila kitu hapa, maana most of this ni practical. So, I will be uploading videos showing from:

  • Jinsi kujiunga Fiverr, which is free and fast
  • Jinsi ya ku-upload kazi yako ya kwanza
  • Jinsi ya Kupata your first order and more
  • Jinsi ya kuwithdraw pesa yako, hasa kama hauna Paypal
  • Jinsi ya kupata pesa yako to your bank account
bro upo negative sana inawezekana ww ni new seller on Fiverr na umeshindwa kuverify account now wamedisable mzee katika platform zote fiverr ndio easy na kuna microjob nyingi sana. we fikiria sehemu unaweka details za service(gigs) zako tu na buyer wanakufata wenyewe. canva ni easy kutumia na unaweza ukatoa service. kwa faida yako km unataka kuendelea na fiverr nakupa idea moja tu ya PRL services brainstorm vizuri utapata idea nini cha kufanya. na km upo serious utatengeneza pesa vizruri maana nimefanya na ninaendelea kufanya.
 
Mbongo ukimwambia laki 5 kwa siku umeshamtoa udenda apo ndo matapeli wanatumia udhaifu uo kupenya/kutapeli)simaanishi mtoa post ni tapeli) lakini Freelencer tena FIVERR mpka uje upate kazi(gigs) sio kazi rahisi kama mtoa mada anavyosema nafkr atakua mgeni apa Jeiefu kuna mwamba zaman alikua anaeleza A-Z mambo za freelencer apa JF lakini kwasasa imezidi kuwa na mashart magumu sana FIVERR imagine ili acc yako to iwe verified kwenye usajili kuna mpaka video call [emoji34] sina nia mbaya ya kumkosoa mtoa mada lakini nasemaje uailete upande wa faida tu leta na changamoto umesema "bila skills zozote" aisee uwezi kuwa freelencer kama unaskills ata iyo ya Social media angalia english zetu wabongo kwel kampuni ya US inaweza kumpa mtu kazi kama English yake imepinda?? Aisee mkuu leta na changamoto zake otherwise utatuletea video za channel yako ya youtube ili tukuongezee viewers tu bila msaada wowote

NATANGULIZA SAMAHANI)

wewe ungetoa mada yako na uelezee kama backup na sio kukatisha watu tamaa
Ukisikiliza mbongo anakueleza changamoto za biashara utaona kabisa hataki uingie huko wakati yeye ametusua.... Shame!!!
 
bro upo negative sana inawezekana ww ni new seller on Fiverr na umeshindwa kuverify account now wamedisable mzee katika platform zote fiverr ndio easy na kuna microjob nyingi sana. we fikiria sehemu unaweka details za service(gigs) zako tu na buyer wanakufata wenyewe. canva ni easy kutumia na unaweza ukatoa service. kwa faida yako km unataka kuendelea na fiverr nakupa idea moja tu ya PRL services brainstorm vizuri utapata idea nini cha kufanya. na km upo serious utatengeneza pesa vizruri maana nimefanya na ninaendelea kufanya.
Sijaelewa, hii comment ni yangu au?
 
kuna michingo mtandaoni kuna dada rafiki yangu ni mkenya yy muda mwingi anapiga pesa kwenye mitandao hana kazi ila ukikutana ane ni kama afficer wa bank fulani kubwa. anaishi vizuri hana stress. nyie kaeni kupinga pinga humu kikubwa ujue lugha na kuandika vizuri na ufahamu mzuri.
 
Mbongo ukimwambia laki 5 kwa siku umeshamtoa udenda apo ndo matapeli wanatumia udhaifu uo kupenya/kutapeli)simaanishi mtoa post ni tapeli) lakini Freelencer tena FIVERR mpka uje upate kazi(gigs) sio kazi rahisi kama mtoa mada anavyosema nafkr atakua mgeni apa Jeiefu kuna mwamba zaman alikua anaeleza A-Z mambo za freelencer apa JF lakini kwasasa imezidi kuwa na mashart magumu sana FIVERR imagine ili acc yako to iwe verified kwenye usajili kuna mpaka video call [emoji34] sina nia mbaya ya kumkosoa mtoa mada lakini nasemaje uailete upande wa faida tu leta na changamoto umesema "bila skills zozote" aisee uwezi kuwa freelencer kama unaskills ata iyo ya Social media angalia english zetu wabongo kwel kampuni ya US inaweza kumpa mtu kazi kama English yake imepinda?? Aisee mkuu leta na changamoto zake otherwise utatuletea video za channel yako ya youtube ili tukuongezee viewers tu bila msaada wowote

NATANGULIZA SAMAHANI)
Japo sometimes ni ngumu kupata Kaz kwenye hizi freelancing site, lakini Fiverr naona ndo platform rahis kwa newbie hata Mimi Kaz ya kwanza nilipata Fiverr
 
Back
Top Bottom