Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapa ndipo naona uzi wako ni wa kipuuzi, na wewe ni motivesheni spika, jua kwamba hakuna kitu rahisiLaki tano kwa wiki freelancing skill bila kuwa na experience yoyote
You're an expert in IoT but that internet hasn't helped you with anything rather than limiting your thinking capacity my brother, BTW JF wame-delete some parts za hii thread I cannot blame you.hapa ndipo naona uzi wako ni wa kipuuzi, na wewe ni motivesheni spika, jua kwamba hakuna kitu rahisi
Mie pia nimepitia magumu na hio FIVVER nikaona bora niwe freelancer wa tigo tu 😎Mbongo ukimwambia laki 5 kwa siku umeshamtoa udenda apo ndo matapeli wanatumia udhaifu uo kupenya/kutapeli)simaanishi mtoa post ni tapeli) lakini Freelencer tena FIVERR mpka uje upate kazi(gigs) sio kazi rahisi kama mtoa mada anavyosema nafkr atakua mgeni apa Jeiefu kuna mwamba zaman alikua anaeleza A-Z mambo za freelencer apa JF lakini kwasasa imezidi kuwa na mashart magumu sana FIVERR imagine ili acc yako to iwe verified kwenye usajili kuna mpaka video call [emoji34] sina nia mbaya ya kumkosoa mtoa mada lakini nasemaje uailete upande wa faida tu leta na changamoto umesema "bila skills zozote" aisee uwezi kuwa freelencer kama unaskills ata iyo ya Social media angalia english zetu wabongo kwel kampuni ya US inaweza kumpa mtu kazi kama English yake imepinda?? Aisee mkuu leta na changamoto zake otherwise utatuletea video za channel yako ya youtube ili tukuongezee viewers tu bila msaada wowote
NATANGULIZA SAMAHANI)
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mie pia nimepitia magumu na hio FIVVER nikaona bora niwe freelancer wa tigo tu [emoji41]
Naona uko banned 🚫Mie pia nimepitia magumu na hio FIVVER nikaona bora niwe freelancer wa tigo tu 😎
With Fivver, or any freelancing platform for that matter, content writing is just one of the many other gigs available!!!What is this about?
Content writing?
Kawaida mkuuNaona uko banned 🚫
Hgsgs yewei otssjk nikamtigo pesa!Mie pia nimepitia magumu na hio FIVVER nikaona bora niwe freelancer wa tigo tu 😎
Ukome kucheza na demu wa Admin..... Karibu TenaKawaida mkuu
Ubarikiwe Sanaaaa mkuuKama hujasoma my previous thread about how to start a freelancing business popote pale ulipo bila experience wala mtaji wowote, basi pitia sasa maana nimeelezea everything concerning this business.
Kwa kifupi, Freelancing ni aina ya biashara ambayo mtu yeyote yule anaweza kuuza service yake kwa makampuni, watu binafsi au wafanyabiashara duniani kote. Unaweza kuuza au kuajiliwa kwa short au long term according to your contract na client wako. Freelancers hupata kazi hizi from Freelancing Platforms ambazo huuwangisha Freelancers (seller) na clients (buyers). Pia as a freelancer huitaji kulipia kujiunga na platform hizi wala kuwa na boss au middle man ambaye anakuajili apendavyo yeye maana in freelancing, freelancer ndiye anayepanga bei ya skill yake au service anayo-offer.
Turudi kwenye title ya thread, Laki tano kwa wiki freelancing skill bila kuwa na experience yoyote. Kabla ya ku-question, naomba kuweka sawa kitu hapo. Kuna skills nyingi katika Freelancing business, lakini pia most freelancing platforms hutumia dollar ya marekani (USD) as an exchange currency hivo laki mbili ya kitanzania ni sawa na 85 USD (Leo hii ninavyo andika hii thread).
SKILL GANI UNAYOHITAJI KU-MAKE HII PESA?
Easy Social Media Posts and Graphics Designs - Yeah, kama ulivyoisoma ndio hivyo ilivyo. Katika ukuaji wa social media marketing na online presence, makampuni mengi hasa nchi kama USA, UK na canada hutumia pesa nyingi sana kuhakiksha social media accounts zao zina-attract customers na kuonekana appealing, hivyo hutumia pesa nyingi kuajili freelancers kudesign posts zao maana most of them cannot do it na sometimes hawana mda wa kukaa na kuanza kudesign posts hususani ni huwa wana budget kwa ajili ya social media accounts zao.
HOW CAN YOU DO IT?
Nimesema selling EASY social media posts and Graphic designs, maana my title inajieleza kwamba huhitaji experience. So, how can you make money without this skill? As a freelancer utatumia FREE online website inayoitwa CANVA (Siwez kuweka link hapa, kuepuka kuwa brocked) kuedit hizi posts and graphics ---- Yeah, najua baadhi wakiona neno FREE, Huhisi hakuna kitu hapo. Website hii ni online clouded hivyo huhitaji kuidownload kama Adobe, ama any other editors.
CANVA ni Free professional online editing platform, ndani ya canva kuna ready-made templates ambazo unaweza kuziedit kiurahisi maana kila design ipo tayari ni wewe tu kuchange texts, colors, background ama anything you wish to do, Pia kuna kila aina za template utakazohitaji kuedit ama kuimport picha au video yako. Kuna more tha 60 million templates na professional free stock images na elements unazotumia bure without paying a $. (kuna paid plan, lakini si muhimu kwa namna yoyote)
WHERE DO YOU SELL THIS SERVICE?
Kutumia CANVA ni step ya kwanza, Vipi kuuza hizi template designs? Kuna freelancing platforms nyingi sana za kuuza hii service lakini for specific purpose na easy to start, nitaelezea Platform inayoitwa FIVERR - Kama huijui Fiverr, basi ni one of the best and safe freelancing platform ambayo huitaji pesa yoyote kujiunga wala kuweka kazi yako.
Kutokana na kuamika sana kwa FIVERR, hivyo makampuni makubwa mengi duniani na watu binafsi huajiri freelancers kuwafanyia kazi zao, Hivyo as a Freelancers huna budi kutumia hii opportunity kupost kazi yako ambayo utakapopata client utatumia canva kuedit hizi designs.
Atleast 50% ya freelancers duniani hutumia CANVA kuedit hizi template designs maana Adobe Photoshop or other popular editors ni ngumu to start na pia mostly paid, Hii service ni LEGAL, hakuna uhuni wowote ule.
UNAJIUNGA VIPI FIVERR, NA KU-WITHDRAW PESA YAKO KWENDA YOUR COUNTRY BANK ACCOUNT?
Siwez elezea kila kitu hapa, maana most of this ni practical. So, I will be uploading videos showing from:
- Jinsi kujiunga Fiverr, which is free and fast
- Jinsi ya ku-upload kazi yako ya kwanza
- Jinsi ya Kupata your first order and more
- Jinsi ya kuwithdraw pesa yako, hasa kama hauna Paypal
- Jinsi ya kupata pesa yako to your bank account
Hahahah sawa mkuuUkome kucheza na demu wa Admin..... Karibu Tena
Kama hujasoma my previous thread about how to start a freelancing business popote pale ulipo bila experience wala mtaji wowote, basi pitia sasa maana nimeelezea everything concerning this business.

Somo zuri tupe ELIMU zaidi MkuuKama hujasoma my previous thread about how to start a freelancing business popote pale ulipo bila experience wala mtaji wowote, basi pitia sasa maana nimeelezea everything concerning this business.

Mkuu una shida na mods maana wewe ni mzee wa kugonga mi likes 🤣🤣 peace kila maraKawaida mkuu
Mods wananioneaga gere tu mkuuMkuu una shida na mods maana wewe ni mzee wa kugonga mi likes 🤣🤣 peace kila mara
Itakuwa umekuwa kama yule jamaa alietumbuliwa kwa kuwa karibu na ex DC wa kisarawe. Kaa mbali na goods za modMods wananioneaga gere tu mkuu
Hahahahah inaonekana kuna shida kama hio😅 wacha niachane na mavitu ya watuItakuwa umekuwa kama yule jamaa alietumbuliwa kwa kuwa karibu na ex DC wa kisarawe. Kaa mbali na goods za mod